annito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 888
- 464
Last edited by a moderator:
Nimegombana na mke wangu siku ya 5 sasa na tukiwa tunaishi nchi mbalimbali,kisa aliniambia story ambayo kuna jamaa yangu fulani alinisema vibaya na basi na mm nikachukia na kumpigia simu huyo jamaa,
basi yule jamaa na na yeye nilipomkasirikia na yy akamgombeza mke wanhu huyo:
Sasa tokea hayo yalipotokea mke wangu alinipigia simu na kunialaumu ,basi kuanzia siku hiyo hatujaongea ,yy kawaida huwa ananipigia zaidi ya mara 4 kwa siku na mm pia humpigia,lkn ss hivi amedindisha na mm pia ,
je unanishauri vp kuhusu kurudisha mahusiano?ningoje mpaka anipigie au nimuanze?
naombeni ushauri wenu
Hehehw Torres nakupenda mara mbili tuu.
wewe ndio mwenye makosa
mkeo alivyokwambia ungatakiwa kukaa kimya mmalize wewe na mkeo na si
kupeleka kwa huyo rafiki yako sawa............ kikubwa mpigie mkeo
muulize habari za home wala usiongelee hilo swala akiuuliza mbona kimya
angalia namna ya kujitetea na si kuongelea hiyo issue tena....... ila
maswala yakununiana naona kama si sawa hasa kwa wapenzi......... me
nakuwaka vizuri na hapo hapo naomba hela utajuta......!
hahah,chukua like