Mnanishauri vipi kuhusu mke wangu huyu?

Mnanishauri vipi kuhusu mke wangu huyu?

Ila mpaka rafiki yako anakuwa na mkeo kumwambia habari kuhusu wewe, tafakari!!

Huyo rafiki si rafiki mzuri at ALL.
 
Ahahaha torres unataka kumuua mtu kwa presha,ndugu yangu mi nakushauri uanze ww kumtafuta hewani kuna kitu nyuma ya pazia muhimu sana atakwambia mkishaelewana,jifanye mjinga kwa sasa.
 
Mapenzi ya ndoa ni ujinga, siku ujinga ukiisha na ndoa inakufa. Kuwa mjinga mpigie akudanganye hakukuwa na lolote kati ya wawili hao muendelee na maisha.
 
Aliyekula kala ijapokuwa kaonja,huyo mshkaji wako kakoroma kidogo kwa mkeo na mkeo Kasanda,mkeo kakukoromea wewe kidogo na wewe umesanda!
Sasa hapo unafikiri anayemmiliki huyo mwanamke nani kati yako wewe na huyo Mpalianda?
Jamaa kajitangazia ufalme tayari.
 
As long as she's your wife, call her n settle it down. Vinginevyo you are creating an environment for her to cheat on you. Distance love must be handled/ mantained with frequent communications between the partners. Kuwa jinga mpigie jibaraguze, mchombeze kwa maneno matamu matamu then ingizia hilo jambo kwakumwambia kuwa ilikuwa hasira tu yaishe.
 
wewe ndio mwenye makosa mkeo alivyokwambia ungatakiwa kukaa kimya mmalize wewe na mkeo na si kupeleka kwa huyo rafiki yako sawa............ kikubwa mpigie mkeo muulize habari za home wala usiongelee hilo swala akiuuliza mbona kimya angalia namna ya kujitetea na si kuongelea hiyo issue tena....... ila maswala yakununiana naona kama si sawa hasa kwa wapenzi......... me nakuwaka vizuri na hapo hapo naomba hela utajuta......!
 
Mkuu unaonekana una hasira za kitoto. Huwezi kuvumilia mambo magumu.
Ilikupasa ukae kimya na kusubiri wakati muafaka wa kuongea na rafiki ako matokeo yake ushavuruga vuruga kila mahali. Kwa rafiki ako na mkeo, kisa...?
Rekebisha kwa sasa mtafute mkeo ila jifunze ku handle mambo kiutu uzima.
Kwa jinsi ambavyo umeli handle vibaya hili sina hakika kama mkeo ataweza kukwambia vitu vingine.
isitoshe huyo ni mkeo ndo anaekutunzia nyumba yako. We rekebisha tu jeba.
Ushakunya sasa mda wa kuzoa umefika.
Najua hii chungu sana ila meza hivyo hivyo bila maji. Utapona tu.
Barikiwa

Kuna urafiki gani mwanaume anaenda kuongea mambo yangu kwa mke wangu? Ili ye ndio aonekane mzuri? Halafu akishaonekana mzuri kwa mke wangu amgonge?

Mwanaume yeyote anayeenda kuzungumza mambo yangu kwa mke wangu badala ya kunishauri mimi ni mnafiki na ni mbaya sana, labda awe shemeji yangu (ndugu wa mke wangu), otherwise huyo ni adui namba moja kwenye ndoa yangu.

Therefore, jamaa anatakiwa kuelewa kwamba kirusi ni huyo jamaa, aongee na mke wake vizuri lakini pia atoe tahadhari juu ya huyo jamaa.
 
ww ni zoba tu, mkeo anakupenda ndo maana anakuambia yasemwayo na marafiki zako, sasa ww kuambia unadindisha mdomo? Ngoja sasa jamaa ampooze mkeo wafungue muamala wa malavidadi, hata kama amekusema vibaya huyo lazima umpende mkeo anayekuambia mambo ya gizania kuhusu ww huyo ndo lazizz
Shauri yako ww nuna wape fursa wezio wakenue na mke kwa staili nyingine
 
Msubirie kwanza inawezekana wanatulizana hasira na huyo jamaa aliyekusema vibaya. Hasira zao zikiisha wakishabembelezana atakutafuta tu!!

Mkuu unampa mwenzako kisebusebu na kiroho papo!
 
long distance relationships zinaboa sana. Asikwambie mtu
 
Kumbe hizi za kupimiana nani anzee zipo hadi kwnye taasisi
 
ninachoamin akili ya mwanaume inatakiwa ivuke level ya mwenza wako hata km yuko smart kias gani,
kwa hiyo km amekasirika hajakupigia cm na ww unakaa kimya halafu!!!??
 
ninachoamin akili ya mwanaume inatakiwa ivuke level ya mwenza wako hata km yuko smart kias gani,
kwa hiyo km amekasirika hajakupigia cm na ww unakaa kimya halafu!!!??

^^
Upo annito ?
^^
 
Last edited by a moderator:
Na ww Mambo unayoongea na mkeo unafikisha kwa watu wengine! Subiri majanga ya kukute!
 
yy kawaida huwa ananipigia zaidi ya mara 4 kwa siku na mm pia humpigia.
Rejea kolezo hapo juu..sii mbaya ukimpigia wewe kwani ulikuwa unafanya hivyo hapo kabla
 
kweli kabisa kwani inakuwaje mpaka wanafikia kumsema mume wa huyo mama?..mmh kikulacho ki nguoni mwako..................
 
Back
Top Bottom