Mnanishauri nini kwa Kiongozi wa kituo cha kazi

Chimbekeha

JF-Expert Member
Dec 1, 2018
1,193
2,163
Hello Wana JF,
Habari zenu,
Niko na Shida Wakulungwa natumaini nitapewa ushauri chanya wenye faida,

Iko hivi nipo kituo fulani nafanya kazi ya umma,ila leo kumeibuka zogo hapa na boss wangu sio muajiri hapana,ni kiongozi wa kituo nilichopo.

Kuna kisima ambacho kinatupush kwa huduma ya maji haya maeneo kutokana na miundombinu ya maji ya bombani kuchakaa na kupelekea kusuasua kwa huduma hiyo

Leo bhana mchana akaleta Tangazo lake,likiwa na ukomo wa kuchota maji kuwa ni saa kumi jioni,Ilipofika majira ya saa tisa na 30 hivi,nikawasha pikipiki yangu nikapeleka dumu 5 za maji maghetoni,ile narudia anambia muda umeisha hauruhusiwi kuendelea kuchota maji,sikutaka nibishane nae nikarudi na madumu tupu hadi home!

Nimeongea kwa ufupi ila kupitia komenti nitafafanunua zaidi kama italazimika...Huyu Mzee Ku*m_ sana ana miaka kama 50 ila hajielewi nawaza nimshatki au maana kanidhalirisha mbele ya jamii.
KARIBUNI
UPDATES
Nimefika job tu nikamuomba msaidizi wa boss,amjulishe ya kuwa kuna kikao cha dharura,hatimaye kikao kimefanyika vyema na kimedumu kwa masaa mawili kuanzia saa 2 asubuhi hadi sasa ndo tunamwagikana.
Inshort amekiri makosa na nimefurahishwa sana na wafanyakazi wenzangu kwa kuwa nami na wao kupata mda wa kueleza ya kwao ya moyoni...
Aisee kuna wenzangu wanasema wangekuwa wao ingekua kasheshe na maji wangechota au wangevaana.
 
Kuambiwa muda umeisha ndo unasema umedhalilishwa inaonekana ww ndo sharobaro hapo kijijini unataka kuwaletea uzuri ma aluwatan
Fata utaratbu kama wenzako
Hapana sio aluwatani mkuu ila kulikuwa na watu na wakaniuliza mbona unarudisha dumu bila maji,nikawajibu kwa hekima ya kuwa maji yamekwisha humu yalobaki ni kwaajili ya shughuli za upishi
 
Hello Wana JF,
Habari zenu,
Niko na Shida Wakulungwa natumaini nitapewa ushauri chanya wenye faida,

Iko hivi nipo kituo fulani nafanya kazi ya umma,ila leo kumeibuka zogo hapa na boss wangu sio muajiri hapana,ni kiongozi wa kituo nilichopo.

Kuna kisima ambacho kinatupush kwa huduma ya maji haya maeneo kutokana na miundombinu ya maji ya bombani kuchakaa na kupelekea kusuasua kwa huduma hiyo,
Leo bhana mchana akaleta Tangazo lake,likiwa na ukomo wa kuchota maji kuwa ni saa kumi jioni,Ilipofika majira ya saa tisa na 30 hivi,nikawasha pikipiki yangu nikapeleka dumu 5 za maji maghetoni,ile narudia anambia muda umeisha hauruhusiwi kuendelea kuchota maji,sikutaka nibishane nae nikarudi na madumu tupu hadi home! nimeongea kwa ufupi ila kupitia komenti nitafafanunua zaidi kama italazimika...Huyu Mzee Ku*m_ sana ana miaka kama 50 ila hajielewi nawaza nimshatki au maana kanidhalirisha mbele ya jamii.
KARIBUNI
Jitahidi kuzuia hisia zako hata kama umekwazika kiasi gani. Hilo tusi la kike ulilo mtukana hapa naona halikua sahihi hata kidogo.
 
Ulirudi na madumu matupu, basi kesho nenda kazini na ufanye kazi.

Fikiria vizuri.
 
Jitahidi kuzuia hisia zako hata kama umekwazika kiasi gani. Hilo tusi la kike ulilo mtukana hapa naona halikua sahihi hata kidogo.
Tate Mkuu nimejitahitahidi sana,hadi wenzangu wamenisifu kwa uamuzi wangu wa kuwa mpole na kurejea nyumbani bila ugomvi na mtu.
 
Ulirudi na madumu matupu, basi kesho nenda kazini na ufanye kazi.

Fikiria vizuri.
Kazi itaendelea,ila tatizo huyu kiumbe,iko hivi Mzee baba,
Boss anapenda kuongea sana pale kituoni, sisi sote inaonesha hatuna ufanisi na kazi yetu ila ni uongo ulopitiliza ila nikiri ana matatizo yake binafsi labda yamemshinda anatafuta wa kumpungia hasira zake.
 
Kumbuka ni boss wako.. Kabla ya yote..
Au unataka kumpiga.
 
Muda si ulikuwa umeisha? kama unapenda feva basi badili jinsia
Kwanza watu wote job,tumeshangaa why Tangazo kama hili,wakati tulijadili katika kikao fulani na tukakubaliana,ila leo ni self decission,why Wakati tulijadiliana?
 
Umezingua mpka kufika kesho utakua umepoa..! Ukiwa na hasira ndo unakua na nguvu za kila kitu hyo kesho atakutoa ndukii tena mzee wa watu.
Mfate saa hvi ukiwa bado wa moto
 
Back
Top Bottom