Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Napita hapa kwa profile yangu ya JF (huwa ni utaratibu wangu kila mwisho wa wiki) naona warembo wengi walipita kunitazama, sijui pozi langu ndo limewakosha?
Ila hawa mabibi hawaachi lolote la kueleweka, hata ka-user note basi jamani? Eh...
PM Inbox yangu imekauka, the last time nimesema na Active kuhusu shauri langu la kuwa 'verifaid yuza', bhaaaasi!
Tafadhalini warembo, ukipita kwa Ibn Mphamvu acha hata ka-vizita meseji basi mrembo...

Last edited by a moderator: