Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
mie nashangaaga mtu unakutana kwenye daladala eti naomba namba yako
ya nini hata jibu la maana hana
Because life is too fast atahitaji muda wa ziada kuongea nawe na kukufahamu!
Mimi sioni shida kumpa mtu namba (au kumnyima) ila kujua wewe kama kijana (wa kike/kiume) malengo yako kimaisha ndiko kutakako determine muelekeo.
Mfano mzuri mwaka juzi,2011 nikiwa kanisani tena...nilimuona binti mrembo sana akienda kutoa sadaka. Nikajiambia huyu baada ya ibada lazima nikamjulie hali/kumsabahi tu (kwa roho safi). Sasa ilipofika wakati wa sadaka ya pili nikamuona ametoa na kutoka nje kuelekea nyumbani. Haraka nikajua hapa ndo sitoweza kumuona. Hivyo nikatoka nje and the only thing ningeweza kufanya (since nilitaka kurudi ibadani immediately) ilikuwa kumuomba namba yake ya simu. Of course alinipa nanikarudi ibadani. Yaliyoendelea hapo ni a story for another day...
What am saying is, kutokana na utandawazi na maisha ya sasa yalivyo most probably you will meet your future man/wife through one of these technological gadgets.kama si hivyo basi they will play a very big role katika r/ship yenu. :A S-key: