Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
Unakutana na mtu jinsia tofauti
Anakuomba # ya simu,
Katika dunia ya sasa kumwambia mtu huna simu ni uongo usio Hata na chembe ya aibu
Huna jinsi unatoa tu kishingo upate
Anaanza kukutafuta
Mnachat
Mnazoeana
Kama mwanamke anaanza kukutangazia shida zake
Mara oo nimefiwa
Mara mama naumwa
Naomba ntumie pesa
Kama ni mwanaume nae
Anaanza sijui unaboyfriend??!
Sijui nimevutiwa na wewe
Mara amefall
Yani simu hizi
Mh heri nirejee kwnye SLP
Anakuomba # ya simu,
Katika dunia ya sasa kumwambia mtu huna simu ni uongo usio Hata na chembe ya aibu
Huna jinsi unatoa tu kishingo upate
Anaanza kukutafuta
Mnachat
Mnazoeana
Kama mwanamke anaanza kukutangazia shida zake
Mara oo nimefiwa
Mara mama naumwa
Naomba ntumie pesa
Kama ni mwanaume nae
Anaanza sijui unaboyfriend??!
Sijui nimevutiwa na wewe
Mara amefall
Yani simu hizi
Mh heri nirejee kwnye SLP