Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,655
- 593
Mh! Wananchi hebu someni alama za nyakati. Giza ni asili yetu watanzania. Hamjaona kwenye bendera yetu kuna rangi nyeusi? Hiyo inaashiria giza totoro. Sasa hata tukipigana hiyo rangi ipo tangu enzi za mababu! Ngeleja, Malima na Jairo wanalijua hili.