TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
- Thread starter
- #41
[/B]
Wanaobadilika huwa wanabadilika kuwa mauza uza zaidi,wanao badilika kuwa wema ni wale ambao maisha yamewaendea mrama tu!!!
Labda na ye anasubr mumewe mambo yamwendee mrama arud....all in all mtafte wote ye aote mapembe mi nikae tu namsubir amaskinike arud kwang imposible things na mi ngetafta wakumvunaa