ndo nimeingia tuu leo humu mjini kwa wanajamii, nimevutiwa na watu wanavyochangia mambo ya kila cku yahusuyo matukio na maisha ya watu katika saisa , burudani , uchumi, michezo , maendeleo na mengine mengi, nimependezwa sana,, mm nipo Maganzo Shinyanga,, karibuni.