Kama aliyecharazwa bakora angekuwa mwalimu kweli, angekuwa amelifikisha suala hilo katika vyombo vya sheria. Pengine alikuwa mpita njia. Unasubiri serikali kutoa tamko kwani hiyo serikali italijuaje suala hilo bila taarifa rasmi kutoka kwa mwathirika?