Mnaletaje watoto Bar?

Mnaletaje watoto Bar?

Good point!

Majuzi tu hapa kuna mdogo wangu mmoja nilimpeleka na baadaye kwenda kumchukua hapo Maisha.

Crowd niliyoiona ikiingia na kutoka kweli ilikuwa kwenye hilo rika ulilolitaja.

Sikuona watu wazima wenye umri mkubwa (at least kimuonekano) wakiingia na kutoka.

Halafu huku night clubs ni kama for teenagers
watu above 30 ni bar na guest houses tu... strange culture kwa kweli
ukiingia night club ni wanafunzi wa vyuo na secondary..
no wonder sex ndo only thing after work...hakuna places za ku hang out much for elders zaidi ya bars...na guest houses.,hotels ..
 
siku moja moja huwa najilipua naingia humo....aisee huwa sikai hata nusu saa naboreka,ni kwa vitoto tu yaani najiona kabisa nimepotea njia!!! inabidi kukaa baa na at least movies kidogo ndio kuna crowd ya kueleweka.
 
wahenga walisema kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Huu msemo haukubahatishwa, hivyo vitoto vinavyozoeshwa mazingira ya bar, ngojeni vikue!

wakati wengine wanasaka maadili nyumbani, wengine wanayatafutia bar.
 
Halafu huku night clubs ni kama for teenagers
watu above 30 ni bar na guest houses tu... strange culture kwa kweli
ukiingia night club ni wanafunzi wa vyuo na secondary..
no wonder sex ndo only thing after work...hakuna places za ku hang out much for elders zaidi ya bars...na guest houses.,hotels ..

Speaking of guest houses....hivi umegundua kuwa zipo guest nyingi tu ambazo uwepo wake ni kwa ajili ya kuhudumia watu wanaotaka kufanya ngono?

Yaani licha ya kuwepo kibao nje kinachosema kwamba hii ni guest house, mtu huwezi kwenda na kusema eti ukodi chumba kwa siku tatu au nne.

Sasa guest kama hizo kama siyo madanguro ni nini?
 
hakuna ukaguzi wa chochote
guest house au hotel
unaweza lipa pesa nzuri tu ukaingia nani ukakuta uchafu mtupu au wahudumu very rude
 
Hata mm nipo bar fulan naona kuna vitoto vinachezacheza kuzunguka meza yangu. Ngoja vimwage mapochopocho niliyouaweka mezani kwangu. Nitajitoa ufahamu nivigonge chupa.
Mkuu nimecheka sana hapo kwenye kujitoa ufahamu na kuvigonga chupa. Teh teh teh..!
 
yaani hata mi nilivikuta vidada na watoto wadogo bar,halafu vidada vyenyewe vimelewa na kupiga makelele.kilichonishangaza walikuwa wanasema raha ya mtoto wa kizaramo ni kulazwa huku wakiangalia meza yangu nikashindwa kuelewa wananipa ujumbe kuhusu wao au wanaongelea bapa la konyagi nililolilaza mezani
 
Mnachukia wakati nyie wenyewe mmeshaharibika, anzeni kwanza nyie.
 
Niliwaambia wale wakubwa kuwa sio fresh kuleta watoto bar. hadi naondoka ile saa4 watoto bado walikwepo
 
Back
Top Bottom