Mnakwama wapi Wakuu?


Mkuu huku JF kuna mafisi sana, pole yako
 
Huyo jamaa aliekuja kwa gia ya dini nae Ni baharia mwenzetu tu ila karata zake amezichanga vizuri sisi tumecheza karata mbovu ila lengo letu wote Ni moja tu

Sent using Gun Trigger

acha kumuharibia mwana hiyo move bana, kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
 
coming to America nahisi ww ndo unatafuta mchumba huku njoo tu kama nakuona vile dada maana kila mtu hana majanga yake na watu wanavunga ndani kwa ndani
 
Humu watoto ndio wamebaki watu wazima na akili zao wamewahiwa
 
Ntakuja kukutongoza kwa Id zangu nyingine.
Ole wako unichomoleee betri.

Utajuta kumpenda Magufuli
 
Wewe ulishapata wako?
Mimi nipo hapA lodge fulani napata moja moto na moto zaidi ila huyu sio wa jf.
Tumevaa barakoa korona ipo.
Ila utofautishe hatupo kwa room tupo garden tunapasha kidogoo.
Jogoo likiamka mtetea yupo.
Utasugua vidole humu injini la basi linaendeshwa na watoto tu.
This is true
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…