egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 808
- 389
Leo nimekaaa na kitoto kimoja nijasikia kinasumbua mama yake, nkakumbuka miaka ya nyuma tulivyo kuwa tunakataza wadogo kuimba haka kanyimbo, instead wakalili table.
Nani mganga wa tausi
Karumanzilaaa,
Lala salama,
Mama wa kambo,
mbona wanitesa,
sasa naondoka
Kaa peke yako,
koma kunipiga,
Gari la baba ,
Bab mzazii,
ziz la ngombe,
Mbele ya nyumba,
mbali na wew ,
Wew na mim
Zizi la ngombe,
Mbele ya nyumba,
Mbali na wew,
Wee na mimi,
Tone la maji,
Jitu la jale,
Lenye midevu,
Vumbua dhahabu,
Bubu hasemi,
mimi na wew
Ww na mini
Nan anakakumbuka, wakumbuka nin hapo
Nani mganga wa tausi
Karumanzilaaa,
Lala salama,
Mama wa kambo,
mbona wanitesa,
sasa naondoka
Kaa peke yako,
koma kunipiga,
Gari la baba ,
Bab mzazii,
ziz la ngombe,
Mbele ya nyumba,
mbali na wew ,
Wew na mim
Zizi la ngombe,
Mbele ya nyumba,
Mbali na wew,
Wee na mimi,
Tone la maji,
Jitu la jale,
Lenye midevu,
Vumbua dhahabu,
Bubu hasemi,
mimi na wew
Ww na mini
Nan anakakumbuka, wakumbuka nin hapo