MNAKUMBUKA MANENO YA MH WAZIRI?? EWURA MNAJUA HAYA MANENO??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,560
MH WAZIRI WANGU WA NISHATI

NILIWAHI KUKUTETEA NA KUKUPONGEZA KURUDI TENA HUMU... ULIPONIMALIZA KWA FURAHA NILIPOSOMAGA HILI GAZETI BAHATI NAWEKA KUMBUKUMBU KWELI...

SASA EWURA WAMETANGAZA ONGEZEKO TUNAOMBA MTUSAIDIE KWANINI MSIRUDISHE SERVICE CHARGE KUMBE TUNAKUJA KUNYUKWA MBELENI.

FB_IMG_1483119234812.jpg

NAAMINI BABA MZEE wangu UTATOKA NA MANENO YAKUTIA WATANZANIA MATUMAINI HUKU TUKIKUKUMBUSHA HILI GAZETI

NAKUTAKIA HAPPY NEW YR BABA
 
Hii miaka mitano tutanyooka kwelikweli. Tuna resources za kutosha lakini umeme bado bei iko juu. Waafrika tuna shida sana,hii nchi yetu wangekabidhiwa wachina kwa miaka mitano tu ingekua kama south africa. Siasa zetu uchwara hazitupeleki popote pale.
 
MH WAZIRI WANGU WA NISHATI

NILIWAHI KUKUTETEA NA KUKUPONGEZA KURUDI TENA HUMU... ULIPONIMALIZA KWA FURAHA NILIPOSOMAGA HILI GAZETI BAHATI NAWEKA KUMBUKUMBU KWELI...

SASA EWURA WAMETANGAZA ONGEZEKO TUNAOMBA MTUSAIDIE KWANINI MSIRUDISHE SERVICE CHARGE KUMBE TUNAKUJA KUNYUKWA MBELENI

NAAMINI BABA MZEE wangu UTATOKA NA MANENO YAKUTIA WATANZANIA MATUMAINI HUKU TUKIKUKUMBUSHA HILI GAZETI

NAKUTAKIA HAPPY NEW YR BABA
Mpwa nakuombea umalize salama mwaka 2016.
 
MH WAZIRI WANGU WA NISHATI

NILIWAHI KUKUTETEA NA KUKUPONGEZA KURUDI TENA HUMU... ULIPONIMALIZA KWA FURAHA NILIPOSOMAGA HILI GAZETI BAHATI NAWEKA KUMBUKUMBU KWELI...

SASA EWURA WAMETANGAZA ONGEZEKO TUNAOMBA MTUSAIDIE KWANINI MSIRUDISHE SERVICE CHARGE KUMBE TUNAKUJA KUNYUKWA MBELENI

NAAMINI BABA MZEE wangu UTATOKA NA MANENO YAKUTIA WATANZANIA MATUMAINI HUKU TUKIKUKUMBUSHA HILI GAZETI

NAKUTAKIA HAPPY NEW YR BABA
Nashukuru sana kwa kuleta haya matamko maana nikuwa nayakumbukia kwa mbali
 
Tafsiri lahisi kama unapandisha umeme ina maana na bidhaa zote zinazo tegemea uzalishaji kwa njia hiyo nazo zitapanda na garama kwa mlaji nazo zitaongezeka na kwa hali ya uchumi wa sasa ina maana wananchi wengi watashindwa kumudu hizo garama alafu mnasema mnamjari mwananchi wa hali ya chini kwa vigezo vp na bado mnaimiza tanzania ya viwanda are you serious.
 
Kuanzia leo, sitaamini kauli yoyote ama tamko lolote toka kwa Waziri Muhongo! Tundu Lissu aliwahi kumwita Waziri Muongo wakati ule wa sakata la Escrow. Tambo zake zote za kuonesha kuwa anatetea Wanyonge wa nchi hii ndiyo matokeo yake haya. Wakati wote anazidiwa kete na mafisadi! Inaudhi!
 
Tena kuna mpuuzi mmoja nyooko kweli anasema sababu eti utabiri umesema mvua zita kuwa chache na umeme utazalishwa kwa mafuta na gas.

Wamakonde wametembezewa bakora kuzuia gas isitoke kwa kuamini hawa mbwa ikifika Dar wataongeza sifuri tu. Sasa ni gharama zipi wakati gas tunazalisha wenyewe naIPTL wanatengenezewa mbeleko na wenyewe mitambo yao itumie gas.

Mitambo ya kinyerezi presidaa kanunua na tunaeleka Kinyerezi 4. Makaa ya mawe mmesema miaka 200 bado mnasingizia mvua?
 
Naona maumivu yanazidi kuongezeka, sasa hapo gharama za karibu kila kitu z itakuwa juu. Nadhani hatuna waandishi makini maana walipaswa kuwatafuta viongozi waloahidi unafuu wa maisha kwa wananchi na hasa waziri mwenyedhamana ya kusimamia tanesco aliyeahidi kuwa sasa bei haitapanda kamwe na gharama zitashuka.
 
Tena kuna mpuuzi mmoja nyooko kweli anasema sababu eti utabiri umesema mvua zita kuwa chache na umeme utazalishwa kwa mafuta na gas.

Wamakonde wametembezewa bakora kuzuia gas isitoke kwa kuamini hawa mbwa ikifika Dar wataongeza sifuri tu. Sasa ni gharama zipi wakati gas tunazalisha wenyewe naIPTL wanatengenezewa mbeleko na wenyewe mitambo yao itumie gas.

Mitambo ya kinyerezi presidaa kanunua na tunaeleka Kinyerezi 4. Makaa ya mawe mmesema miaka 200 bado mnasingizia mvua?
Ulifikiri wapinzani wa ccm ndo wenye kuisoma namba, sasa maccm ndo mwatafutiwa kusoma namba zero ya kurumi.
 
Back
Top Bottom