Mnakuimbuka hiii

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,969
6,755
Iliitwa the journey to the west.
Ulikuwa una mkubali nani hapa??

Mimi nilimkubali saa sun wukong na Badjeee mpenda kula
1462561229257.jpg
1462561237450.jpg
1462561249210.jpg
 
Nyani huyo. Da! umenikumbusha miaka ya 1999, nikitoka church Chang'ombe nikifika home sibanduki kwenye TV, by that time ilikuwa inaoneshwa na ITV saa tatu hadi saa tano Jumapili.
 
Da hata mimi nilikuwa nikitoka kanisani napita ukumbi wa video walikuwa wanarusha saa tatu asubuhi nilikuwa naikuta itv
 
Niko kwenye 30s mpaka sasa that's the bst thing nimewai ona.ntapata wapi series nzima???ni story iko kwenye vitabu vya wachina
 
Back
Top Bottom