ningesema kitu ila sinaga kipaji chakung'ang'ania ndoa.
' mabinti hata kama uko kwenye mahusiano ya miaka 10,4.3,7 n.k yule mtu anakupa ahadi tu yakukuoa ukipata mtu ambaye ukimchunguza yuko poa anakufaa akataa kukuoa hata siku moja usiache kuolewa kisa unasubiria ahadi utalia wewe hutaamini' umri wako umefika acha mahusiano ya uchaguzi hadi uchaguzi umepata mtu mwambie tu baba eeew nakupenda lakini huu ni wakati wangu wakuolewa nimepata anayenioa nawewe tafuta mwingine aayeweza mahusiano ya tangu mkapa hadi magufuli anayakuta meanza mahusiano mtu akiwa form one kamaliza chuo kikuu ana kazi unajidanganya utaolewa neveeeeerrrrrre