Mnakera sana mabinti mnaolazimisha ndoa

Mnakera sana mabinti mnaolazimisha ndoa

Mkuu hao unaowatetea ni hovyo kabisa.Kwanza Unakuta hawana bikra,pili tabia hazieleweki na zaidi hawatabiriki.Kwaiyo Basi mtu unaamua kumuweka katika pool ili ikionekana yeye ni best miongoni mwao Basi bila hiyana unamuoa lakini si kwa kukurupuka mkuu na kulazimisha kama wafanyavyo hao.Kuhusu kuonja lazima aisee siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia mimba ikitokea huo ni mpango kamili wa Mungu hakuna kiumbe kinachozaliwa bahati mbaya..
Hujatulia
 
Seems mkuu hujafunzwa kwenu, mtazamo wako juu ya wanawake ni negative sana, wewe ndo wa kwanza kuwaharibu halafu unaropoka eti hawana bikira, mwanamke anaweza kuwa dhaifu katika nyanja moja kutokana na uumbaji wa Mungu but isiwe opportunity kuwarubuni na kuwachezea na kuwaona hawafai, halafu unalalamika hakuna mwanamke wa kuoa, wape haki zao nao ni viumbe kama wewe na wana haki sawa katika mapenzi, hebu fikiria huyo mwanamke unayemchezea na kumuita kiburudisho ndo atakuwa mama, mke, shangazi, dada au mtoto wa mtu, imagine ufanyiwe wewe
 
Mkuu hao unaowatetea ni hovyo kabisa.Kwanza Unakuta hawana bikra,pili tabia hazieleweki na zaidi hawatabiriki.Kwaiyo Basi mtu unaamua kumuweka katika pool ili ikionekana yeye ni best miongoni mwao Basi bila hiyana unamuoa lakini si kwa kukurupuka mkuu na kulazimisha kama wafanyavyo hao.Kuhusu kuonja lazima aisee siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia mimba ikitokea huo ni mpango kamili wa Mungu hakuna kiumbe kinachozaliwa bahati mbaya..
Vijanaume vizembe na hasidi kama nyie ndo hushindwa kuwapa malezi binti zenu na wao hudumbukia kwenye mikono ya vijanaume vya type yenu, naomba nikuite kijanaume maana kwa maneno yako huwezi kua a real man, hata hujitambui badala kuwaongoza women we ndo unawafanya kiburudisho, kwanza nina wasi wasi na hizo spea zako kama ni functional, maana vijanaume vinavyopenda kujisifia kwa upuuzi huwa vina mapungufu
 
Kama uliingia kwa gia ya kuoa acha akukumbushe unamuoa lini
 
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.

Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.

Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik

kwaiyo wewe mzee wa viwango inaonekana zimeshakunuka, unabadilisha kama shati ni vyema kwanza ungetanguliza jina la dini yako ili tujue kwamba inafaa kufanya hivyo au haifai.
 
Miaka saba au 9 au 5 unamfanya mtoto wa watu kiburudisho wakati wanaomtaka wamuoe wapo ila kwa vile anakupenda anakusubiria,mwanaume hata umpe nini hamridhiki
Wakati anafanywa kiburudisho, akili zake aliziweka makalioni??
 
Usikimbilie mume ukaukondesha moyoooX2
Usijeitaka harusi kwa pupaaa!! Usijeitaka harusi ukarudi na talakaaa...........naimba tu kwa sauti ya kassim
Mbona haujashika kipaza sauti..lakini kwa sauti yako wamekusikia
 
Lazma muulizwe,
We unajiburudishaje miaka 6,7,8 ???
 
hii si tu ni aibu kwa mleta post hii bali ni aibu kwetu wanaume sote maana tunaonekana huu huwa ndo mtazamo wetu tunaposhauriwa na wenza wetu juu ya ndoa.
ndoa ni jambo la kheri mbele ya mungu na jamii hivo mtu akikushawishi kheri ni jambo jema sana.
ukitaka kujua adha ya hili muulize mwanaume anaejua thamani ya ndoa hasa za kidini na kakosa wa kufunga nae.
wanawake tusameheni kwa ajili ya huyu mleta post ya aina hii.
 
Last edited:
We umeingia kwa gear ya kuoa hivyo hata ikiwa week 1 ni haki yake kuuliza
 
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.

Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.

Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik
Sasa kama vijana hamtaki kuoa wataolewa na nani? Kazi kuwagegeda na kuwapa mimba kisha mnakuja kuwasema jf eti ni single mothers kwanini wamezaa bila ndoa na eti nyie hamuoi waliozalishwa nyie vijana wa kileo mbona mnakera? Kwani kuna mtu hataki kuolewa ukimgegeda mara mbili tatu ni nyingi sharti akudai hatimiliki si umeonja tayari kwani unasubiri nini? Amua unaoa au usimpotezee muda amtafute aliyeserious make nyie hata condom hamtaki kutumia mnasema zinapunguza utamu na zina fungus sio baadae umpe mimba uanze sarakasi.
 
Nyie wanaume,sisi tunawasaidia muache uzinzi but mnatuona tuna shida sana ya ndoa.....mtazini hadi lini?! Au mnadhani mtaishi milele,mna agano hilo na Mungu Muumbaji wetu?!

My call,oweni na sie wadada tuolewe....tuache kuishi maisha ya dhambi(zinaa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom