Mnaikumbuka Salamu hii shuleni?

Wandugu mi naona tunajiandaa kufanya onyesho la kuwapigizia mbuzi gitaa nina imani hakuna atakaelewa tune ya muziki hata kidogo. Hebu tuwe wakweli na Mods naomba unilinde. Humu JF ni watu wangapi ambao watoto wao wanasoma katika zile shule zilizokuwa zikitumia hizo salamu za " kijamaa"? Nadhani 90% watoto wenu wako FM Academias shule ambazo kupeleka hizo salamu eti wanafunzi watumie kuwasalimia walimu ni ndoto.

Huu ufisadi tunaoupigia kelele ndugu zangu tunautengeneza wenyewe kutokana na makuzi tunayowapa watoto wetu. Mtoto anapojiona kuanzia darasa la kwanza anapoenda shule anajua kuna kibasi cha shule kinampitia asubuhi, inawezekana hapo jirani kuna mwenzake anasoma hizi shule zetu za kawaida anajenga hisia kabisa kuwa yeye ni matawi ya juu na kuna uwezekano mkubwa akakuwa na mawazo hayo.

Tunashuhudia sasa hivi wimbi la vijana kugushi vyeti vya shule hadi vyuo vya elimu ya juu kwani vijana wamejiona kuwa ili ku-maintain good time ni lazima watafute njia ya mkato kufikia ulaji. Spirit ya kujituma na kukubali kufanikiwa kwa kutoka jasho imekwisha.

Kwa hiyo naomba nyie mnaofikiria kurudisha hizo salamu za kijamaa tujitazame sisi wenyewe kwanza kama wazazi je, watoto wetu tunawakuza katika mtindo gani? Otherwise, hakuna kitu hapo. Kama wewe mzazi unalazimisha mwanao akiwa darasa la kwanza angalau ajue tu kusema, good morning teacher, fine thank you and.................... wakati wewe mwenyewe hayo ulikuja kuyajua ukiwa sijui darasa la 4 au 5 leo unahangaika kwenda kwenye shule za ST's na academia unatoboka mfuko kuliko kawaida kisa mwanao asome english medium? Halafu mnataka salamu za kijamaaaaa. Mnacheza nyie!!!!!!!!!!
 
Ndugu zanguni kulikuwa na salamu hii pia kipindi nasoma shule ya msingi tuliitumia sana
"Katika nchi yetu kazi ni jambo la kujivunia,bali ulevi,uvivu, uzurulaji liwe ni jambo la aibu kwa kila mtanzania"
Shikamoo Mwalimu
 
...tulipata faida gani kwa salaam kama hizo hata kama propaganda ina sound vizuri...nchi yeyote inayoendeshwa kwa propaganda haiwezi kuendelea!
 
$**Uamkapo asubuhi......
%&"**Uwasalimu wazazi......
!"£$7**Shikamoo baba, shikamoo mama....
¬"£$%***Hiyo ndiyo tabia njema..................

Unakakumbuka hako kasongi?
 
Wandugu mi naona tunajiandaa kufanya onyesho la kuwapigizia mbuzi gitaa nina imani hakuna atakaelewa tune ya muziki hata kidogo. Hebu tuwe wakweli na Mods naomba unilinde. Humu JF ni watu wangapi ambao watoto wao wanasoma katika zile shule zilizokuwa zikitumia hizo salamu za " kijamaa"? Nadhani 90% watoto wenu wako FM Academias shule ambazo kupeleka hizo salamu eti wanafunzi watumie kuwasalimia walimu ni ndoto.

Huu ufisadi tunaoupigia kelele ndugu zangu tunautengeneza wenyewe kutokana na makuzi tunayowapa watoto wetu. Mtoto anapojiona kuanzia darasa la kwanza anapoenda shule anajua kuna kibasi cha shule kinampitia asubuhi, inawezekana hapo jirani kuna mwenzake anasoma hizi shule zetu za kawaida anajenga hisia kabisa kuwa yeye ni matawi ya juu na kuna uwezekano mkubwa akakuwa na mawazo hayo.

Tunashuhudia sasa hivi wimbi la vijana kugushi vyeti vya shule hadi vyuo vya elimu ya juu kwani vijana wamejiona kuwa ili ku-maintain good time ni lazima watafute njia ya mkato kufikia ulaji. Spirit ya kujituma na kukubali kufanikiwa kwa kutoka jasho imekwisha.

Kwa hiyo naomba nyie mnaofikiria kurudisha hizo salamu za kijamaa tujitazame sisi wenyewe kwanza kama wazazi je, watoto wetu tunawakuza katika mtindo gani? Otherwise, hakuna kitu hapo. Kama wewe mzazi unalazimisha mwanao akiwa darasa la kwanza angalau ajue tu kusema, good morning teacher, fine thank you and.................... wakati wewe mwenyewe hayo ulikuja kuyajua ukiwa sijui darasa la 4 au 5 leo unahangaika kwenda kwenye shule za ST's na academia unatoboka mfuko kuliko kawaida kisa mwanao asome english medium? Halafu mnataka salamu za kijamaaaaa. Mnacheza nyie!!!!!!!!!!

suala ni kujaribu kurudisha maadili. some concept za hizo uanzoita propaganda zilijenga... aliyepita JKT analijua hilo...si vyote vilikuwa ni vibaya tulivyojifunza... Kote hata hukoacademia tunaweza kuigniza salamu hizo. Hatutaki kutengeneza kizazi X.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom