Mnaikumbuka hii???

Mnaikumbuka hii???

Mi nakumbuka kula mbakishie baba then nikadondosha kijiti kushika kwenye mstimu wa umeme bwana nikadondosha nakimbia nikajikwaa nilipigwa na watoto mpaka nilikoma.
 
hamna kaz za kufanya kojoen mkalale

Lubasa
Junior Member
Join Date : 13th November 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

Naona unakuja kwa kasi, posti ya kwanza tu
ushajifanya unajua?

By Erickb52
We ndo ukalale coz hujui hii ni safu ya jokes........
You are not forced to visit this site......!!!!

Mkuu, usihangaike naye, hajui asemalo...
 
Lubasa
Junior Member
Join Date : 13th November 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

Naona unakuja kwa kasi, posti ya kwanza tu
ushajifanya unajua?



Mkuu, usihangaike naye, hajui asemalo...

Kweli aisee watu km hawa hawakosi kwenye jamii
 
Nipeleee nipeleeeeeeke
Wapi ?????
Kwa balozi...
Kwaaa baloziiiii kuna nini???
..... ..... .... ....

Ilikuwa hivi:
Nipeleke nipeleke, wapi ..... kwa balozi
Kwa balozi kuna nini.... Fatuma, katobolewa
Katobolewa na nani... mchaga muuza duka

dada fatuma shilingi imemponza, kavaa don' touch namwita kadengua......
 
ME nakumbuka,kioo ,kioo nani alikivunjaaa akamatwe apelekwe gerezani....................
 
Back
Top Bottom