Mnaikumbuka hii???

Mnaikumbuka hii???

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Watoto wangu eeh
Eeeeeeeh
Mimi baba yenu
eeeeeeh
Sina nguvu tena
Eeeeeh
za kuua simba....
Eeeeeh
Simba ni mkali.....
Aliua baba...eee....aliua mama....eeh
............
Nimekumbuka mbali sana
 
Mimi nakumbuka zaidi kombolela, mnakimbia kujificha mkiwa jinsia tofauti
na watawatafuta bila kuwaona hadi mchezo unakwisha...
 
Katika kombolela, niliwahi kupanda mti mrefu balaa,dadaangu aliponiona nikiwa kileleni juu ya mti aliangua kilio akijua kifo changu kimewadia!
 
Jamii Forums - The Home of Great Thinkers, Where we dare to talk openly.
 
Nipeleee nipeleeeeeeke
Wapi ?????
Kwa balozi...
Kwaaa baloziiiii kuna nini???
..... ..... .... ....
 
watoto ni watanzania na simba ni mafisadi, mfumuko wa bei nk. Teeeeeh teeeeh
 
Mimi nakumbuka zaidi kombolela, mnakimbia kujificha mkiwa jinsia tofauti
na watawatafuta bila kuwaona hadi mchezo unakwisha...

Nakumbuka komborela 1 nlijificha kwenye kabati la nguo chumba cha wazazi nikasinzia kabatini ikawa zoezi la kunitafuta si la 'anayezinga' bali la familia hadi waliponiotea kabatini.
 
yaani hapa kwenye kombolela kwenye jinsia mbili tofauti kupatikana ilikuwa kazi.

Maana lazima watasikia tu miguno ya kitoto 'asss, asss.....komborela oyee!
 
Nakumbuka komborela 1 nlijificha kwenye kabati la nguo chumba cha wazazi nikasinzia kabatini ikawa zoezi la kunitafuta si la 'anayezinga' bali la familia hadi waliponiotea kabatini.
Hahahahahahaaaaaaaa
Ulitoa kali......
 
Watoto wangu eeh
Eeeeeeeh
Mimi baba yenu
eeeeeeh
Sina nguvu tena
Eeeeeh
za kuua simba....
Eeeeeh
Simba ni mkali.....
Aliua baba...eee....aliua mama....eeh
............
Nimekumbuka mbali sana

Huko mie ndipo nilijifunza mambo ya wakubwa! Dada wa one of my friends alikuwa mkubwa kwetu kila kujificha anataka kwenda nami! Tayari bado ikitamkwa, sisi hatupatikani kwani tunakwenda nje ya mpaka uliokubalika kujificha!

Nikiona watoto wangu wakiicheza nakuwa na wasiwasi sana! Taabu ya dhambi hiyo=wasiwasi kila wanangu wakicheza huo mchezo
 
Nakumbuka komborela 1 nlijificha kwenye kabati la nguo chumba cha wazazi nikasinzia kabatini ikawa zoezi la kunitafuta si la 'anayezinga' bali la familia hadi waliponiotea kabatini.
Naskitika nimecheka mbele ya watu wa heshima nipo kwenye meeting ha ha ha aisee kali sana.
 
Back
Top Bottom