Mnaikumbuka hii!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaikumbuka hii!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jul 16, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Imeshapita kama miaka 14 hivi. Tukio hili lilitokea Arusha. Mama mmoja aliyekuwa anafanya kazi kituo cha afya alifikiwa na wageni wawili wanaume waliohitaji nasaha (si ushauri nasaha). Baada ya ushauri mmoja alitolewa damu. Baada ya kutolewa damu, jamaa alichukua lile bomba na kumdunga yule mama. Kuona vile akazirai. Kuamka jamaa walishapotea kitambo na watu wamemzunguka. Akawapa mkanda wote. Damu ile ikapimwa na ikajulikana ina virusi. Tulisikia kupitia redio, na mama yule alizungumza. Kwa wanaokumbuka hii ishu tujuzeni ilifikia wapi
   
 2. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  The case was dismissed/closed on the ground that the assailants dissiapperead
   
 3. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naikumbuka sana hiyo, I felt so sorry for her! Wkt ule kuwa muathirika was a death sentence...huyu mama walimdunga sindano coz they were just sijui nitumie neno gani waliona anafaidi kuwa kwenye nafasi ya kumpa mtu majibu na nasaha

  Unyama!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa A town miaka ile, tena ilikuwa pale Ngarenaro!
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi pia nilikuwa Kibo-Kerai
   
 6. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inauma sana hapo ndio ujue binadamu wote hatufanani kabisa..hata kwenye serikali yetu kuna wapo wanaochukua damu yenye virus(dowans, EPA, Meremeta, Rada, Mgao wa umeme) kutuchanganyia kwenye uchumi wetu....
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hope she is still alive. Kipindi ukimwi ulikuwa ukimwi kweli. Leo kupitia matangazo tunaambiwa tujisikie fahari kuwa waathirika (!)
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sasa hata kama wangepatikana ingesaidia?
   
 9. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Although the issue happened long tym ago, if it is reality it pain me a lot.
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  arv zinatupa moyo lakini hiyo kitu ni nouma
  ndo mana watu walivyosikia loliondo
  wakahamia huko.asee hatari sana
   
 11. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Nilikua bado sijazaliwa, ila inasikitisha ukilinganisha na ukimwi wa enzi hizo noumaaa!!!
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo una miaka chini ya 14?
   
 13. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mi nazimia hakyamungu...!! Khaaaaaaa....!
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  possibly, atakuwa hivyo maana hiki kizazi cha ipod na iphone
   
Loading...