Huyo ni mzembe wa kupindukia...inaonesha kwao yuko peke yake, miaka yote amekaa na hausigeli na ni type ya wale watoto ambao hata akifanya madudu mzazi hamfinyi wala kumfokea. Inabidi wewe ndio uchukue jukumu la kumfundisha na kumuelekeza yote aliyotakiwa kujua tangu akiwa na miaka 10. Kila la heri mkuu
Kununua mboga tu pachaThere you go.....nionee huruma kama ulivyoonea huruma bill za jamaa
Hapana mkuu huyo kwanza anaonekana bado mdogo hata maisha hayajui kwa hiyo ni wa kufundishwa tuWala aina haja ya kumfundisha mpuuzi uyo inaonekana yupo careless sana kama ivyo vitu tu vidogo anashindwa kuwa makini je ataweza kuwa makini hata kwa vitu vyenye thamani kubwa kiufupi simshauri mleta uzi aoe hivi ndio vile vidada visistaduu ata chupi yake kufua hawezi
Wewe kama umemchoka mtakie tigo hatokuja tena kukusumbua wadada kama hao wanaogopa tigo.Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya maji si nalipia lakini?
2. Akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nusu saa ndo anakumbuka kuwa kumbe anapasi. Hivi mimi si nalipia luku? Anaweza fua masaa mashine inazunguka tu anarudiaa eti anataka nguo ing’ae
3. Anamaliza sabuni akiosha vyombo
4. Akikaanga kuku sasa au samaki, yaani kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote. Yaani akija J’mosi hadi J’pili kuku wote kwenye friji wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi ni kwamba nimekuta kawasha gesi inatoka tu bila moto halafu hata hajajua. Nikawa nasikia tu “xiiiii” na harufu. Kuuliza hiyo si gas inatoka? Eti yuko heee alitaka chemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke muda huu. Hata hamu ya kugegeda imetoka
Kumchana mtu ni ngum sanaWewe kama umemchoka mtakie tigo hatokuja tena kukusumbua wadada kama hao wanaogopa tigo.
Ila kama unampenda unataka abadilike mwambie mimi ukija kwangu sitaki hili au lile kama hutaki sepa kwenu uje muda utakaoniheshimu
We umenielewa,kuna watu wengne hum wanajifanya hawajali,kwamba wee fuja tuu tutalipiaUsimchezee mtu anyekuharibia bajeti oa mwanamke anayepanga bajeti halii yenyewe hii sisi kuku wawili huliwa wiki moja au moja nanusu hakuna muchezo na hela
basi manz ni faraa! Anatupaje diko chalyangu?Ni bingwa wa kutupa chakula.msimtetee wakuu
nikukute tu umesogeza fito huko 😅😅😅[emoji3][emoji3] ukisema ole wako unafanya wewe sasa