Mnadani leo Kibamba

Kuna vibe pale[emoji3] kuwekaga limit ya muda wa kuondoka kwakweli nilishashindwa unaweza shtuka saa 10 alfajiri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimepamiss for two weeks nipo Dar lazima nitimbe aisee
 
Samahani mkuu kama ntakukwaza, funguo hapo umelenga ujumbe gani? Je wew ni msukuma?
 
Samahani mkuu kama ntakukwaza, funguo hapo umelenga ujumbe gani? Je wew ni msukuma?
Hujanikwaza mkuu ila nahisi una inferiority complex maana nadhani nikama kuweka funguo wa nyumba tu sikuhizi
 
Inainekana siku ukitimuliwa kazi utakufa kabisa!!
ama nyie ndio mlisota sana kupata ajira.....
manake inaonekana haupo huru.......!!!?
saa sita saivi unawa kazi ya kesho!!?
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…