KIPUMPUSWA Senior Member Joined Jul 16, 2011 Posts 106 Reaction score 35 Nov 22, 2011 #1 Hivi hawa wanyama wetu wamewakosea nini viongozi wetu? kila kukicha wanawanadi kwa wageni. Attachments ngozi.jpg 34.3 KB · Views: 167
M Mahona Senior Member Joined Sep 29, 2011 Posts 162 Reaction score 13 Nov 22, 2011 #2 Hiyo ni ngozi ya Chui, kama wanainadi kukusanya pesa za harambee fulani mi naona hakuna tatizo
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Nov 22, 2011 #3 money maker!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Nov 22, 2011 #4 M Mahona said: Hiyo ni ngozi ya Chui, kama wanainadi kukusanya pesa za harambee fulani mi naona hakuna tatizo Click to expand... Si unajua harambee ya magamba hela yenyewe inakoishia
M Mahona said: Hiyo ni ngozi ya Chui, kama wanainadi kukusanya pesa za harambee fulani mi naona hakuna tatizo Click to expand... Si unajua harambee ya magamba hela yenyewe inakoishia