Mnada mali za ubalozi wa Marekani 22/4/2017

Mnada mali za ubalozi wa Marekani 22/4/2017

Sema vitu vya bid inaenda kwa bei kubwa sana ushindani si wakitoto
 
Na sisi magufuri inabidi atoe amri kwa ubarozi wetu wa tanzania kule usa nao wapige mnada vitu vyao vyote kama wenzetu wanavyofanya. Je wazungu watavichangamkia vitu vya mnada vya tanzania kwenye ubaroz wetu huko usa ?
Uchochezi
 
Mbona wanagombeaga sana tu maana vitu vya ubalozi sio vya sport sport uwaga hata ss watz tunaishi hapa w dc uwa wazungu wanatupiga bao
 
Pdidy unaweza kusaidia hata kuniwekea bei ya hizo mashine za mazoezi na Printer na Photocopy machine
 
Mnada umeenda vipi jana wadau maana niliona foleni kuingia balaa na unalipia 5,000 kwanza kabla; nikasepa maana nikahisi naweza poteza muda tu na kiingilio changu
 
Back
Top Bottom