Mnacheki tv pamoja na watoto, Ghafla mambo flan hayoo!!!!

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,367
Ishawahi kukutokea umepumzika sebuleni mnakula chakula cha usiku pamoja na wife na watoto mkawa mnacheki t.v show amazing alaf ghafla katkat ya show vitu flan nasty vikaanza kama sex scenes na mbaya zaidi remote haipo, ????
 
Tofauti na habari hakuna kingine naangaliaga na watoto.. maana najuaga siku hizi ushenzi mwingi sana.. kuna siku lilikuja tangazo la HIV/AIDS Yule jamaa alidanganya kuvaa kondom. Halaf akaingusha chin mwanangu akaniishtua et baba hajavaa.. kama mimi sikubali.. Halaf shangz ake aliikuwepo pia.. Ndo ikawa ban yang hiyo kwenye li T.V
 
Mkuu ni kabinti au kakijana kakiume? Kunasomo primary miaka hii so wanajua vizuri matumizi wamefundishwa hata kama hajawahi lakini warning ya mwalimu wa somo imemkaa.
 
Tofauti na habari hakuna kingine naangaliaga na watoto.. maana najuaga siku hizi ushenzi mwingi sana.. kuna siku lilikuja tangazo la HIV/AIDS Yule jamaa alidanganya kuvaa kondom. Halaf akaingusha chin mwanangu akaniishtua et baba hajavaa.. kama mimi sikubali.. Halaf shangz ake aliikuwepo pia.. Ndo ikawa ban yang hiyo kwenye li T.V
nimeona aibu mimi
 
Mkuu..Haya matangazo hunipa ukakasi sana.. Hasa ya mipira ya kufanyia ngono..yaani mapumziko mafupi katikati ya taarifa ya habari ni kuangalia mtu mume na mtu mke wakifanya matendo ya mahaba yanayoashiria tupu zao zaelekea kukutana!!!!?

Pita pita primary schools, tayari watoto wanaongelea "kubebika" waliyoitoa kwa Joti ..
Na Kweli wanabebika humo barabarani kwenye uniform zao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom