Mna ushahidi gani dhidi ya CCM?

Mna ushahidi gani dhidi ya CCM?

Ulete mahakamani ila anzia ofisi ndogo ya Lumumba kwa verification process
Kama wewe ni mmoja wa WASIOJULIKANA au ni ndugu na Makonda ukae ukijua tu kuwa ni suala la muda. Suala la kushambuliwa Lissu September 2017 haiwezi kufunikwa hata siku moja. Linasubiri muda muafaka na Mahakama sahihi.

Majina yote ya wauaji wa kikundi cha WASIOJULIKANA yanafahamika. Labda muamue kuwaua nyie wenyewe kupoteza ushahidi
 
Jinga wewe unarudia kuandika ujinga
Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo,Upumbavu wako ndio umeona yameandikwa yale yale,na mimi nipo sambamba kujua uhakika wa mnayo yaratibu bila ya kuwa na ushahidi uliosheheni vithibitisho,au japo kizibiti kidogo tu, Tuhuma kuzielekeza CCM ndio na wao wanazielekeza upinzani kusema ,wapinzani wanaumizana wenyewe kwa wenyewe.

Kitu kimoja ningependa...Seif sharifu husikika akisema na juzi kule Unguja amegusia kuwa wana ushahidi wa vikao vya CCM wakijadili namna ya kumsaidia huyu mtoto wa Ali , aitwae Huseni kwani mambo kwa CCM ni magumu kuliko walivyofikiria,na ameongezea kusema wanalishana yamini wasitotoe siri,lakini kila kitu cha CCM na mipango yao ipo nje ,amegusia kwa undani karibu ya kuwataja wahusika, inamaanisha intelijensia ya Seif Sharifu ni kubwa sana,hio ni upande wa Zanzibar, Zanzibar mpaka askari atakaefyatua risasi na kuuwa wakati wa maandamano hujulikana na haraka askari utasikia amekimbizwa au ameondolewa na kupelekwa Tanganyika,kwa kuwa wazanzibari hawacheleweshi kulipiza kisasi pindipo wakishambaini mhusika wa tukio.Wa la hawasemi kwa kubahatisha wanachokisema ni fulani amehusika basi huwa hivyo.

Hapa kwetu tumesikia shutuma nyingi akipelekewa CCM na vyombo kama nilivyo ainisha huko juu, tuhuma zisizo na ushahidi,ni sawa na tuhuma walizotuhumiwa Uamsho na CCM hadi leo hamna ushahidi ,kiasi inafikia CCM wanataka kuichafua nchi kwa kutuletea mujaidina.
 
Kama wewe ni mmoja wa WASIOJULIKANA au ni ndugu na Makonda ukae ukijua tu kuwa ni suala la muda. Suala la kushambuliwa Lissu September 2017 haiwezi kufunikwa hata siku moja. Linasubiri muda muafaka na Mahakama sahihi.

Majina yote ya wauaji wa kikundi cha WASIOJULIKANA yanafahamika. Labda muamue kuwaua nyie wenyewe kupoteza ushahidi
Tumeshaanza hio kazi ni suala la muda tu kuwamalizia kabla ya uchaguzi kuisha. Lissu akiwa Rais hatawakuta wakiwa hai ili awaburuze mahakamani
 
Na yeye mwenyewe Shocker alistahili kubakia kwenye condom aliyotumia baba yake ila bahati mbaya akapenya na mama yake akapata ovulation.
Kama wewe,tatizo wewe humjui baba yako ni nani tupo wengi ila mwanangu adabu huna.
 
Ha
Tumeshaanza hio kazi ni suala la muda tu kuwamalizia kabla ya uchaguzi kuisha. Lissu akiwa Rais hatawakuta wakiwa hai ili awaburuze mahakamani
Hapo sawa. Ila forensic investigation haiwezi kumuacha Makonda salama hata mukiwaua WASIOJULIKANA
 
Mauaji yanatokea, watu wanapotea, wengine wanashambuliwa, wengine wanaokotwa baharini, shutuma zimetokea kuelekezwa upande wa CCM.

Hivi vyama vya upinzani mnaweza kuweka ushahidi unaokubalika kuwa CCM na serikali yake wanahusika?

Vyama ambayo mpaka imebakiza siku moja ndio wanaanze kupiga makelele kuhusu Tume huru ya Uchaguzi mlishindwa nini ndani ya miaka mitano kulianzisha na kulivalia njuga, wacheni kubabaisha raia.

Imebakia siku tatu mnabana pua Tume sio huru, miaka minne mmeufyata, wapiga kura wawaelewe vipi, hata kulizungumzia hamkusikika, siku zote hizo hamkulijua, au mtasema mlizuiwa mikutano.

Nikirudi na mada shinikizi kuhusu ushahidi,kama mna ushahidi na mahakama imetupilia mbali basi mnaweza kulipiza kisasi kisasi kinaruhusiwa kidini ila kusamehe ni bora zaidi.

Hata wakiengua wagombea wenu wa Urais mnaweza kulipiza kisasi, kama mmethibitisha haki haikutendeka, hivi akienguliwa Magufuli mtapinga au mtakesha kwa furaha?

Ili iwe fundisho kama mmethibitisha CCM ndio mambo yao na nyinyi lipizeni kisasi cha uhakika na ijulikane kuwa hapa kisasi kimelipizwa.

Kama mtaishia kupiga makelele bila kutoa funzo ili mheshimiane mtabakia, vyombo vya dola havitendi haki, polisi wanaipendelea CCM, usalama wapo na chama tawala, kama mna ushahidi pambaneni kwa kulipiza kisasi dhidi ya CCM, basi hata hivyo vyombo vikiona mambo yanageuka watawapendeni kama wanavyowapenda CCM.
.
Karibu jamvini mkuu,umejitambulisha kwa LB7 wakongwe?
 
[/QUOTE
ushahidi kamuulize NAPE kwanza
 
Kama mmejenga flyover, mmenunua ndege, mmejenga barabara mkasema CCM imefanya Basi hata mabaya yaliyotokea wakati huohuo na ya kwenu. Simpo logic.

Mkiyakana hayo mengine hata na Hilo hakutakuwa la CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom