Mna uhakika Press Ipo leo?

Mna uhakika Press Ipo leo?

Muda ndo huu shujaa slowslow , tunatembea tembea huku yutubu kimya mkuu
 
kwamba watakuwa wamenegotiate na dada yake ampigie simu asitoe press au le wanachinja?
Mimi sijui nimeuliza tu na naendelea kuuliza / kuwalizeni je, Press Ipo leo? Naendelea kusubiria majibu yenu ila niko mbali kama ipo tafadhali msiwe Wachoyo / Walugume kunipa Updates zake sawa?
 
Back
Top Bottom