Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Kwa bahati mbaya atalenga kura za wafuasi wa upinzani hasa cdm. Tatizo ni moja, cdm ni imani sio rahisi wafuasi wake kushiriki kwenye uchaguzi wa maigizo. Hivyo atapoteza kihalali kwa ccm kwani ACT ina wafuasi wachache.
Ninatunza hii post, ila akihama usije kuanza kumchamba
 
SIASA IS A STRATEGIC SCIENCE, WELL ORGANISED FORMULAE, NA SIO CHAOS & NOISES & HARAKATI KICHWA FUNZA
N.B,KAZI NGUMU YA KUSIMAMISHA CHAMA IMARA ALIIWEZA MBOWE.
 
Tofautisha udalali wa siasa na kusimamisha chama. Mbowe alikuwa dalali, umesahau kidogo akiue chama kwa kumleta Lowassa na kwenda Ikulu kumsujudia Samiah?. Subirini hukumu ya Tarehe 18 August.
 
Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
akiwa kimya tabu akiongea tabu,afanye nini?
 
Tofautisha udalali wa siasa na kusimamisha chama. Mbowe alikuwa dalali, umesahau kidogo akiue chama kwa kumleta Lowassa na kwenda Ikulu kumsujudia Samiah?. Subirini hukumu ya Tarehe 18 August.
Chama kimepigwa pini mpaka kesi ya msingi iishe,kiongozi yoyote kusimama kwa niaba ya chama na kuongea lolote,ni kosa la jinai./ni kosa la kumuweka mtu lupango!
 
Boniface Jacob akipata mshauri mzuri, anaweza kupata jimbo la Ubungo kama akienda ACT. Sioni wa kumzuia maana wafuasi wake wako palepale. Ni yeye tu atoke vipi? Hata CHAUMMA pouwa tu.

Kwenye siasa usikariri misimamo, bali kuwa flexible. Siasa haina maadui wa kudumu bali masilahi ya kudumu
Kwa tume gani ya uchaguzi mkuu?, hivi mmesahau mwaka jana kulikuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, nini kilitokea?, ishu sio kugombea tu, swala ni msimamizi wa uchaguzi ni CCM wenyewe, so kwa huruma yao wao ndo watajua wampe nani kwa upande wa upinzani. Uchaguzi ni geresha tu.
 
Boniface Jacob akipata mshauri mzuri, anaweza kupata jimbo la Ubungo kama akienda ACT. Sioni wa kumzuia maana wafuasi wake wako palepale. Ni yeye tu atoke vipi? Hata CHAUMMA pouwa tu.

Kwenye siasa usikariri misimamo, bali kuwa flexible. Siasa haina maadui wa kudumu bali masilahi ya kudumu
kwa hiyo shida ni kupata Jimbo?

kwanini waTanganyika mnaongozwa na matumbo badala ya akili?

kwenye chama cha ukombozi (CHADEMA) matumbo na maslahi binafsi sio kipaumbele
 
Back
Top Bottom