Mna-save vipi pesa?

Mna-save vipi pesa?

Unapanda boda, hautaki kutembea japo 1Km.

Unarequest sana Bolt. Yani wadada siku hizi mmejizoelesha sana kurequest, daladala hamtaki kupanda kabisa.

Mlo wako kwa siku unatumia kiasi kisichopungua 8000/=, hapo kwa mwezi ni 240k.

Vocha kwa mwezi haipungui 100k.

Ukichanganya na vikorokoro vingine kama kusuka, mafuta, perfumes, nguo, viatu, unakuta imeshasoma 550k.

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Nimekosea hapo juu?
 
Nisiwe muongo huwa simalizi laki 3 ndani ya mwezi 1.

Unga kg 25
gas kubwa 60k mkataba miezi 6+.(Nina miezi 4 na bado hata nusu haija fika).
dagaa kisado 1 - 8k
Mchele kg 25 - 50k.
Usafiri home na kwenye u jobless ni dk 10-15 tu(baiskeli ipo).
Mafuta litre 5 25k. (Miezi 2+)
Umeme 5k + maji 5k.
Nyama au kuku 40k
Total= 210k.
 
Hii nimeielewa mkuu
 
Unajuaje gas imebakia kiasi gani mkuu!
 
Back
Top Bottom