Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Mnaonunua nguo za ndani (chupi) za mtumba mna moyo sana!!
.
Endeleeni na moyo huo huo.
Yajayo Yanafurahisha.
.
Endeleeni na moyo huo huo.
Yajayo Yanafurahisha.
Ulishawahi kununua au kuvaa??Inategemea ntu na ntu!
umaskini tu mkuu sio kama wanapenda au tunapenda kuvaa boxer mtumba au chupi mtumba
Sent using Jamii Forums mobile app
yataka moyo sana mkuu.Imekugusa pahali naona.
Et eeeh jipe honger basImekugusa pahali naona.![]()
![]()
![]()
Yajayo Yanafurahisha.