MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Kwa mara ya kwanza leo nimekula ujiko kudadadeki.

Ngoja nikapate Guiness kwa afya ya mwanzisha sredi.

Hakika leo utapata demu mkali. Usitumie kondom kwakuwa hatakuwa na HİV. Ukipata gono itakuwa bahati mbaya, uzuri göno lina tiba.

Unamasihara wewe!!!
Hihiihihiiii!
 
Wandugu; mie bado kinda naomba wandugu nikomaee kidogo!
 
Wandugu; mie bado kinda naomba wandugu nikomaee kidogo!

Hahahahahaaa!
Mbona umeshakomaa ndugu! Wewe na figganigga licha ya kugonga sana likes, you are intelligents too!
Nazionaga post zenu!
....

....
Afu Mimi 49 vipi ulinimwagia sumu nini! Afu ukanionea huruma, ukaona mzigo uuerase! Aren't you?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…