Heheh sasa huoni kama unampendelea...yaani juzi tu hapo.
Kuna raia wapo hapa full time yaani wanaweza wasitoe comments ila wao ni likes tu mfano Mamndenyi, Mr Rocky, Kaizer etc na wapo kitambo
Mashaxizo,nashukuru kiongozi wangu kwa kuufahamu uwepo wangu.
Nalog off
Mashaxizo,nafarijika kusikia hilo,ila ungewapa somo jinsi ya kumention taarifa zingekuwa zinanifikia huku niliko,si unajua wengine tunaishi mwituni.Hahahahahaaa!
Mkuu wewe ni level nyengine kabisaaa!
Sidhani kama kuna member wa MMU hakufahamu! Labda awe kajiunga jana!
Kuna member wengi tu wanakutaja katika nyuzi, sema ndio hawajui kumention ndio taarifa hupati!
...
Mi nakukubaligi sana kwa post zako za kichokozichokozi afu ndio unaua nalog off!
Huwezi kusema top 3 ya good story ..........Majibu ya kueleweka........ utulivu kwenye uzi........ majibu ya juu kwa juu......... bila kumtaja ........................
Ni nini hio vigwasa?Loooh eti vigwasa.....teh!!!!!
^^
Ha ha ha ukiitwa pima sauti,,
Najua una hamu sana ya kujua u-ndani wangu bt sio wakati sahihi...punguza utundu
Soma signature yangu hafu uniambie umeelewa nini?
^^
DOmmy mkuu acha kulia!! upo fulltime usipunguze...Kumbe kwenye attandance book sijamboo, ngoja nitapunguza..
Hivi huyo Luck Star ni nani? naona kama ni mgeni hapa MMU unless awe alibadili ID.