Usijali, na uwezo wa kumfanyia mtu upasuaji bila nusu kaputi
na wala asisikie maumivu
sembuse ugumu wa kujitakia?
Hata kama una tight jeans moja
nina suluhisho
na hela ya kunipa utaipata
Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!