Oh' hio ya Mtambuzi ndio umeona hivo? Then tumelitazama tofauti... Hio nyingine, yeah' nimeambiwa sio makisio yangu tu...
Juu ya yote, binafsi sioni mantiki kwa thread yoyote kuwekwa sticky kama haihusiani na utawala au uendeshaji wa jukwaa husika
Ni wastage of space na kero tu kwa wafunguaji jukwaa. Kama thread ni muhimu au maarufu itaendelea kuwa katika top page kutokana na kuchangiwa kwake na hata kufufuliwa na kuendelezwa tena na tena baada ya miezi au miaka kupita (Rejelea "Ungependa kutoka na nani" by Nyani Ngabu)
Mimi na wewe huwa tanakinzana hapo Gaijin, wewe una mitazamo yako... Ninao wangu. Haina haja ya mimi na wewe kuwa na the same angle ya mitazamo (God! It would be so boring...). .
Inachekesha kuwa kwa yote niliyoyaandika pamoja na kurejelea thread kadhaa zilizoandikwa na watu mbali na wewe, bado ukadhani kuwa this is about you.Maelezo uliyotowa msingi wake ni kuwa what you think rite or proper is as opposed to what I think... Nakubali kuwa hii thread inaweza isiwe na mantiki kwako BUT kwangu reliant ni maoni toka kwa fellow members... So far sababu majority ya waliopost humu wameona ni muhimu (pamoja na huyo Ngabu uliesema nirejee thread yake) that is what matters to ME. .
Alafu calm down Gaijin, usiwe unakereka kirahisi hivo bana! Yaani hii thread yangu moja na zingine hapo 3/4 unakereka? Basi naona zilipokuwa zile sijui 15 or more uliacha kabisa kutembea MMU...
Nini vigezo vya thread kufanywa kuwa sticky?
pamoja na hayo nimekuja na 'Bendera Nyeupe', taratibu tu mtaelewana.
Who said anything about there being a haja ya mimi na wewe kuwa na mtazamo sawa?
Inachekesha kuwa kwa yote niliyoyaandika pamoja na kurejelea thread kadhaa zilizoandikwa na watu mbali na wewe, bado ukadhani kuwa this is about you.
Let me simplify it for you then. It has never been about you and it will never be. Today it was about sticky threads. How about that, any better?
Kujaa kwa stickies hapo ni kero na ndio maana watu wakalalamika. Sasa hivi kuna thread kidogo zilizo sticky, sawa, baada ya wiki thread ambazo zitatakiwa kuwekwa sticky zitadumbukizwa kwenye thread hii au msururu wa sticky utaanza upya?
Ndio nikasema sioni mantiki ya thread yoyote kuwa sticky kama haihusiani na utawala au uendeshaji wa jukwaa. Tanabahi
Katika jukwaa huru kama hili watu wote wana uhuru wa kuchangia iwe kwa kuunga mkono au kupinga
Ndio nikasema sioni mantiki ya thread yoyote kuwa sticky kama haihusiani na utawala au uendeshaji wa jukwaa. Tanabahi
Katika jukwaa huru kama hili watu wote wana uhuru wa kuchangia iwe kwa kuunga mkono au kupinga
Katika jukwaa huru kama hili watu wote wana uhuru wa kuchangia iwe kwa kuunga mkono au kupinga
Here we go again...
I am glad at least nimeweza kukuchekesha... It's a pleasure... Alafu sikufikiria kabisa it was about me - mie nilijua it's about 'stickys'. Au maybe sikung'amua hilo, -Is it about me? Please enlighten..
Yeah'... Better, ila tu am wondering are you serious? You honestly think I think that? C'mon, get over yourself Gaijin. Well, let me simplify it back at you too; Maybe wakati mgeni niliweza fikiri hilo, but I know better kuwa it has NOTHING to do with ME (else unihakikishie hilo - ukanifanya kichwa kivimbe lol) Honestly it would be an honor...
Thank goodness!
It's about time the forum gets cleaned up.
halafu we Nyani Ngabu wewe unatafutwa na polisi kwa wizi wa baiskeli feri.You two knock it off now.
halafu we Nyani Ngabu wewe unatafutwa na polisi kwa wizi wa baiskeli feri.
Kuna tofauti kubwa kati ya sababu, chanzo na matokeo. Inaonekana wengine huvifinyanga pamoja.
Niliuliza vigezo ambavyo vinaangukia kwenye ama sababu au chanzo na si matokeo.
Juu ya yote, binafsi sioni mantiki kwa thread yoyote kuwekwa sticky kama haihusiani na utawala au uendeshaji wa jukwaa husika
Sioni mantiki ya mwanamme mmoja kuja na vigezo vyake vya mwanamme wa Kiafrika anatakiwa aweje tukatarajiwa sote kila tukifungua jukwaa tuikute ikitusabahi, au for that matter, msichana na fantasy yake ya mwanamme wa kweli yukoje ndio ikawa kibla cha jukwaa kila tukiingia.
As for this thread na usticky wake, it is as useless as hizo nyengine zinazowekwa sticky kwa maana sio kuwa mtu akitaka kuanzisha thread mpya kuhusu mwanamme wa Kiafrika atakuja adurusu au atalii kwenye uzi huu kwanza kuona kilichowahi kuandikwa.
Ni wastage of space na kero tu kwa wafunguaji jukwaa. Kama thread ni muhimu au maarufu itaendelea kuwa katika top page kutokana na kuchangiwa kwake na hata kufufuliwa na kuendelezwa tena na tena baada ya miezi au miaka kupita (Rejelea "Ungependa kutoka na nani" by Nyani Ngabu)
Kongosho mboni ya jicho langu,kiraka kwenye tairi la bentley yangu,elastic kwenye kufuli langu na frem ya picha yangu,nakumisije kipenzi.Pokea li mmmmwaaaa na linyamnyam chini ya kitovu chako!