Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,455
Heri ya mwaka mpya wakuu,napendekeza tuwe na teams hapa jamvini kati ya mabachelor na wasio kua mabachelor, hii ni katika kuboresha na kunogesha tu jukwaa,nadhani inaweza hata kusaidia wale wanao omba ushauri hapa jamvini kutambua aina ya ushauri umetoka kwa mtu wa namna gani nadhani nime eleweka hapa..