MMU’s JF Special

Asha, naomba popote pale utakapowaona Gaga na Dena,
waambie kuwa niwaagizie bia gani huku........?
za moto au baridi?
 
Asha, naomba popote pale utakapowaona Gaga na Dena,
waambie kuwa niwaagizie bia gani huku........?
za moto au baridi?
Nipatie light tafadhali a lager of excellence
 
Asha, naomba popote pale utakapowaona Gaga na Dena,
waambie kuwa niwaagizie bia gani huku........?
za moto au baridi?

Wapiiii Gaga???? Wapi Dena????? Vinywaji vya bure huku....lol... (Bacha nishapiga mbiu.. mimi napata kinyaji gani??)
 
ndo maana yake kuna sehemu ukishika lichupa la bia unaonekanaje sijui mwanamke

ukishalewa what do u do often ????
Umewahi kulewa na usikumbuke kilichotokea ???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…