MMUs JF Special
Some JF member Quoutes I Love (MMU)
Katika threads mbali mbali hapa MMU watu hutoa Michango mbali mbali ambayo hufurahisha, elimisha, kosha, imarisha na saa ingine hata kukwazisha But all in all most ya michango hubeba ujumbe mkubwa saaana ambao ingawa wakati mwingine huchukulia kama mzaha but ujumbe behind the mzaha hua muhimu.
The following are some of the best quotes (kwa upande wangu) kutoka katika three of my threads Take NOTE kua hazijapangwa kulingana na ubora wa hio quote.. hivyo ya mwisho yaweza kua bora kulika ya kwanza katika huu mpangilio..
Hata hivyo most kuna quotes zao nyiiingi zimenifurahisha ila niliona its beta I withdraw to most ambao nilibahatika kupata michango yao
- EMT
- Social Media imefanya mwananchi wa kawaida kua journalist
Hii toto ni kichwaDuh! Una kumbukumbu sana. Can't remember even remember when, where and why I said that. Thanks.
Duh! Una kumbukumbu sana. Can't remember even remember when, where and why I said that. Thanks.
Same to me Ashadii... you keep on surprising me everyday with your postsGaga.... what can i possibly say wewe mdada...
I keep falling in love with you every day..
Kumbe alikuwa hayupo bana wasiwasi wa bure, karibu mwayaThanks dear for every thing, nashukuru ktk ushauri wa how to kiss...
kumbe sweetie bado anipenda.... hadi raha ndani ya roho..
Same to me Ashadii... you keep on surprising me everyday with your posts
keep it up lady!
Gaga.... what can i possibly say wewe mdada...
I keep falling in love with you every day..
Same to me Ashadii... you keep on surprising me everyday with your posts
keep it up lady!
Thanks dear for every thing, nashukuru ktk ushauri wa how to kiss... kumbe sweetie bado anipenda.... hadi raha ndani ya roho..
Kumbe alikuwa hayupo bana wasiwasi wa bure, karibu mwaya
Nakuunga kidole Gaga. Hii Ashadii kichwa kwelkwel. she keeps amazing me kila kukicha. na sio kichwa 2 bali hardworking sana pia! she is such a potential kwa nshi hii. one day tukimjua wote tutampa kura za ndio to ikulu! yani yule jamaa pale angekuwa robo tu ya Ashadii mbona tungepiga hatua nyingi mbele! Hongera Ashadii and thanks for 'all'
Jukwaa lenu la MMU zuri sana kwa wakti huu mchache baada ya jukwaa kanungu langu michezo kuwa likizo.
Kila la kheri wote.
Masabwada hizo short comments unatoaga... not fair kabisa to AshaDii...
Maana anakua hakuelewi....
u r kinda hard to understand, majority ya members hapa wanaingia chaka abt u and thats why u get a number of critics ... so far nakukubali but angalizo tu ... mgema akisifiwa ...
Darling AshaDii
Be blessed for this useful thread....I will have more to say in private as usual, but suffices to say that this thread is one of the most innovative one I have ever seen in this MMU forum. I am not, however, surprised that it comes from you, because you simply CAN do that, and that makes me proud!
Love you babe....
Hommie mzima wewe?Darling AshaDii
Be blessed for this useful thread....I will have more to say in private as usual, but suffices to say that this thread is one of the most innovative one I have ever seen in this MMU forum. I am not, however, surprised that it comes from you, because you simply CAN do that, and that makes me proud!
Love you babe....
You know your previous comments to me kind of gave me an impression that
you have already decided for a fact what am all about... and like any human being would
Like to know what piqued the interest... as in is it good or bad...
But your admitting that am hard to understand says you have not finished reading me...
what did i do/say exactly to place you in that position??