MMU nimefiwa

Rafiki yangu alinipenda sana na kuniheshimu hadi akawa anaona aibu kunitongoza alidhani ningelitambua hilo, na ningemuanza. But mie nilimuona kama kaka yangu after kuona hana dalili za kunitamkia ndio na heshima ikazidi. Haya ameniambia last year wakati it was too late.[/QUOTE]
Hapo ndipo pa kuchukulia point kama hujui,😛ray::sleep::couch2:
 

Yes ni my brother. Kwa kweli inaumiza moyo sana hasa pale unapofikiria kuhusu mahangaiko ya maisha na suala la familia. Joseph ameenda. Mkewe na watoto wako hospital.. Tunatarajia kumpumzisha katika nyumba yake ya milele baadaye leo mchana.{Jumatano tarehe 10/04}.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa misiba hiyo mikubwa. Uwe na moyo mkuu, uwe imara ili ushinde maumivu haya ya moyo. Naye Mungu ni mkuwa na anatenda kila jambo kwa makusudi fulani, basi na misiba hii usiione kama Mungu amekuonea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Gone too soon, Hata angelea watoto wake basi aone wanvyokua.......Mungu atawapatia faraja wote kwa wakati huu. Nikifikiria hivyo sioni sababu ya kuhangaika sana na kuwa mchoyo kwa kidogo chnagu. Life is too short kuendekeza uchoyo na chuki.
 
Mrembo by Nature... Death of a loved one at an unexpected time makes u see everything in life so differently..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dear. na sisi tumepata msiba, mama wa family friend kafia Moshi. I will not attend neither but I am with them in prayers. Just be strong and be there for your friend, that is the most important.
 
Pole mamito jamani..
Mungu akutie nguvu.
Poleni wote mlofiwa jaman.
Njia yetu moja.
Me naogopa kufa jamn uwiii wish niamke niwe naota af njikute kwa Mungu.. Sio saiz lakin..lol
 

pole sana mkubwa!!
 
Jamani asanteni
woote angalau najiona wepesi kidogo, huyu ni kama mama yangu mzazi,
imeniuma sana siwezi elezea kushindwa kuwepo na kumfariji rafiki yangu
mpendwa na kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama.

Pole dear.
 
Poleni sana wote mliopotelewa na wapendwa wenu. Kikubwa cha kujifunza ni kwamba UNAPOONA WENGINE WANATANGULIA MBELE ZA HAKI JIANDAE NA WEWE KUONDOKA SIKU MOJA.
MAVUMBINI UTARUDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…