MMU na vijimaneno vyake

MMU na vijimaneno vyake

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,897
Reaction score
3,705
Najifunza vitu vingi sana hapa jf(Mmu) ikiwemo vijimaneno ambavyo sikuweza kukutananavyo mtaani ninapoishi, maneno hayo ni kama papuchi, mlango wa kuzimu na n.k.

Bila kupoteza mdaa ningependa kujua ni neno gani ulilokutananalo Jf especially MMU ambalo hukuwai kukutananalo mahala pengine popote bali ulikutananalo jukwani MMU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom