nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
mwanangu huyu anataka kukimbilia pm.. nilitaka umchane hapa hapa.. sasa amua wewe mwanangu, pm au hapa!
nisikuamulie chochote.. sawa mamii!
Enzi ganiiiii?Dah! Yani sijui shetani gani alipita kati yetu!
Hivi kwanini tusikumbushiane enzi zale swetieeee!
malikia mm nakwaminia! najua nikikuacha na mji usiku, unaweza kuulinda!
kama ulimpiga ngalikinja, huyu Window7 anakushinda nini sasa?
Enzi ganiiiii?
Kwani haujui mim nani plz...nakuona unavyodunda dunda kama kitenesihmm! mbona wanistua.. we nani ati?
utaingiaje bila hodi!?
Sasa bebii mbona unaniabisha kwa baba mkwe tena.
Angelicious njoo uniambie hapa nini kinaendelea plzmacho unayo mi simooooooo muulize Angelicious
Enheee.. Mkamate huyo
hahaha nilikuwa nataka ruhusa yako kama ile pisto naweza kuijaribia kwa huyu window
Plz naomba msicheze na my wifeEnheee.. Mkamate huyo
mamii hata hilo wanniomba ruhusa? hebu chukua hii kwanza ufanye testing kama inaweza kuua!!
piga risasi hata Daudi1 akileta za kuleta! ila Angelicious... hmm! msamehe mama! karoho kananiumaaaa!!
Kwani haujui mim nani plz...nakuona unavyodunda dunda kama kitenesi