MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Goodmorning queen of my heart!

Umeamkaje kipenzi changu!?

Leo nimehisi uko na mimi kabisa, tena na limvua loote la leo, mmh! Things did go easily!

Btw, niambie wangu wa moyo, nashukuru saana kwa dedication yako ya valentine! IT IS VERY ROMANTIC AS YOU SWEETHEART!

ha ha ha!!!! kweli mahaba niue ndo mana nikasema chai ya kike ndo chai yenye tangawizi. nishamaliza miye njoo huku unifute
 
Goodmorning queen of my heart!

Umeamkaje kipenzi changu!?

Leo nimehisi uko na mimi kabisa, tena na limvua loote la leo, mmh! Things did go easily!

Btw, niambie wangu wa moyo, nashukuru saana kwa dedication yako ya valentine! IT IS VERY ROMANTIC AS YOU SWEETHEART!

Good morning!!! Mahaba nitoe roho yangu miye, hope uko poa
 
mimi sasa ntakipiga maofi ya nanii..!! teh.. teh..!

kikizingua na mimi ntakipigha kabhisa!!

ah!unaaribu shaurilo mtoto anataka niue huyo Excel haya we shemeji Window7 copy hzo vocal peleka piemu akizingua sa hv itabidi 2saidiane majukumu valentine hii nishike uskan mwenyewe babu kazeeka out haendi bhanaa.
 
Last edited by a moderator:
Goodmorning queen of my heart!

Umeamkaje kipenzi changu!?

Leo nimehisi uko na mimi kabisa, tena na limvua loote la leo, mmh! Things did go easily!

Btw, niambie wangu wa moyo, nashukuru saana kwa dedication yako ya valentine! IT IS VERY ROMANTIC AS YOU SWEETHEART!

jaman Excel mwenzenu bado nimelala mnanipigia kelele ah mvua yote hii lalen na angeliciour wako ah!mnaamka mapema ka mme ...... kitandani.
 
Last edited by a moderator:
Sasa huu ni wivu au?? Excel njoo huku unitolee maelezo please maana sielewi elewi ati

baby we nawe una wivu mpaka kwa hawa nao? they are just petty neighbors,!! achana nao!

akchuale.. mvua bado inanyesha bana! come on bed and lets have fun!.. hakuna kwenda kazini leo!
 
jaman Excel mwenzenu bado nimelala mnanipigia kelele ah mvua yote hii lalen na angeliciour wako ah!mnaamka mapema ka mme ...... kitandani.

jirani mbona kelele hivi? hizi si dalili za kulala njaa hizi?

my sweetest, my baby, my heart.. my everything..! my angel..! my Angelicious!

usiwe na wivu baby na huyu..! hata chembe ubavu wangu! she is just a simple neighbor!

atuache tulale kulaleki!!
 
Last edited by a moderator:
baby nimeamka!

kwa mahaba ulonipa, nimepagawa!

kwa vurugu patashika, punguza kidogo!

Ndo mana nakupenda unajua kunibembeleza hata kama danganya toto, thanks mahabuba wangu miye wala sina pressure na hao majirani
 
Ndo mana nakupenda unajua kunibembeleza hata kama danganya toto, thanks mahabuba wangu miye wala sina pressure na hao majirani

unajua nini baby, kwa jinsi ninavyokupenda, kuna wakati nataka niwahamishe wanoko wooote wanaotupiga kijicho mjini hapa! jimama kama J.lee, silipendi kama nn! lino mjicho hiloo, eenh!

afu ole wako nikukute na vinuka mkojo mtaani hapa!! wallahi utanifanya nizidi kuwapa suspension!
 
Last edited by a moderator:
ah!unaaribu shaurilo mtoto anataka niue huyo Excel haya we shemeji Window7 copy hzo vocal peleka piemu akizingua sa hv itabidi 2saidiane majukumu valentine hii nishike uskan mwenyewe babu kazeeka out haendi bhanaa.

Leo umenifurahisha shemejii.. Mtoto mango g kagoma mpaka pm. Jiandae valentine hii tutoke achana na babu hana jipya yote outdated.
 
Last edited by a moderator:
mwambie Window7 akae mbali na wewe! otherwise ntam-do something bad that he/she wont forget! .. teh!

baby i love you then i love you!!

Kijana umesahau namiliki Ak-47.. Halafu hapo kwenye he/she nitake radhi.
 
Last edited by a moderator:
jaman Excel mwenzenu bado nimelala mnanipigia kelele ah mvua yote hii lalen na angeliciour wako ah!mnaamka mapema ka mme ...... kitandani.

Shemeji haka kamvua ka leo na hali hii ya hewa kama tuko marangu. Natumai babu atakua kwa mke mkubwa kakuacha lonely.. Fanya mpango uje kwa kijana fastaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom