MMU Fursa BET

Hapa kuna under 20 anagombaniwa. But napenda kukuarifu mtoto yuko kwangu kwa sasa.

kwanza una mitamaa jamvi la wagen ww! mana nmekuona hukooo unavyomkaribisha mgen pm! sikutaki diha
 
diha njoo kwangu. mimi domo zege lakin nakupenda mpendhi.
si unajua mjini msingi kiuno babe
 
kwanza una mitamaa jamvi la wagen ww! mana nmekuona hukooo unavyomkaribisha mgen pm! sikutaki diha

Punguza hasira diha si unajua kesho kazini. Utanipa stress.
 
bora ww kwl, maana huyu fataki chapombe windo ananishinda! tatzo bado nampenda penda sasa..

Safi sana diha. Kumbe upendo bado upo. Naomba uache pm yako wazi nitakua hapo soon.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usiogope ushindani si mnasema sie vijana wa siku hizi hata kurusha mkojo mita tatu hatuwezi!?

Naona unajipa promo kiaina kijana.. Kaa mbali na wake za watu
 
Nasema kaa mbali na wake za watu. Kama huna patna sema nikupe shemeji yangu J.lee mtoto jicho linaomba po!
mambo ya patner wa nini kuongeza magharama, nikitaka maziwa nakuja kunywa hata kwa patner wako, maisha yanaendelea.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…