MMU Dictionary.....

MMU Dictionary.....

Kaizer na watu8 mi na nyie hapa hatuna kamusi tu na hatueleweki.tukiweka kamusi si watu wataandamana?
 
alafu jamani jamani mie hilo neno nina haki miliki yake so kuweni waangalifu utashangaa nadai pesa.....alafu nataka niweke kama private plate namba yangu

Apo nakubaliana na wewe kabisa mkuu mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana misamiati yenyewe siyo mingi kabisa naona watu wanarudia maneno hayohayo, hiyo dictionary itafika hata page mbili kweli?
 
Haswaaaaa haujakosea

hahahahaaa!! hapo nimejikamatisha!

nishawahi sikia wazungu wakiombana k mara nyingi tu, lakn sijawahi sikia wakisema ' i want to socialize with you' teh!
 
hahahahaaa!! hapo nimejikamatisha!

nishawahi sikia wazungu wakiombana k mara nyingi tu, lakn sijawahi sikia wakisema ' i want to socialize with you' teh!

Ha!ha!ha!ha!ha!haa
 
Mgegedo AKA dudu ya wanaume 🙂🙂 dushelele
 
Kila siku kunazaliwa maneno mapya hapa MMU, kwa watu ambao niwageni wanakua wanauliza kwa mfano papuchi maana yake nini? nini maana ya kibamia? ili kuwasaidia watu wapya kujua mtu anamaanisha nini naomba tutengeneze MMU DICTIONARY ambayo itasaidia wengi na pia itakua Lugha yetu hapa MMU.....

NB: tumia Lugha nyepesi kutoa maana ya neno ili uzi usiamishwe..

PAPUCHI, K, - kiungo cha uzazi cha mwanamke...

Dushe- kiungo cha uzazi cha mwanaume au tupu ya mwanaume

Kibamia- tupu ya mwanaume ambayo ni ndogo kama bamia..

Tigo- sehemu ya kutolea taka kwa mwanaume na mwanaume

endelea......

Mzigo- inawakalisha mwanamke mwenye makalio makubwa mfano, Mzigo umewekwa ndan ya kipedo, juma amekula mzigo leo leo usku!
 
Back
Top Bottom