Huwa mnakutana wapi? Nataka niungane na nyieWatu kibao wanakutana kila siku Dar....
Kanisa la Mt.Joseph misa ya mchana!Huwa mnakutana wapi? Nataka niungane na nyie
Hahahaha...usiniharibie tafadhali....sasa hivi niko ndani ya nyumba nataka nikiondoka anifuate!check me rejao.....!lizzy yupo saudiarabia
Sawa mama mchungaji, nipo njiani naelekea hapo parokianiKanisa la Mt.Joseph misa ya mchana!
We nawe sijui niseme una mawazo mgando...umechoka au umefulia. Kufahamiana na watu na kuomba omba wapi na wapi?!Kama ndio tabia yako au ya watu unaowajua usidhani na wengine ndo walewale.Mkuu inaelekea umetokea DODOMA huko kwa wakina matonya shida yako Uanze kutembeza bakuli tukisha kutana shem on u.Sioni faida yoyote ya kukutana wana jf.Kupoteza muda tu.
Usisahau sadaka!!!Biblia unaweza kuazima!Sawa mama mchungaji, nipo njiani naelekea hapo parokiani
Mimi pale TANDALE KWA MTOGOLE nimejaa!Hebu njoeni kesho manzese darajani mtanikuta.
Na wewe nae Mahusiano, Mapenzi na Urafiki na kanisa la mt. Joseph wapi na wapi? Unamtindio wa fikra nin?Kanisa la Mt.Joseph misa ya mchana!
Heshima yako umemwazima nani?!Kama mahusiano yangekua hayana uhusiano na dini ndoa zisingefungwa makanisani na misikitini...watu wasingepewa mafunzo yahusiano na MMU sehemu za ibada.Nadhani hizo sababu mbili zinatosha kuonyesha kama ulifikiria kabla ya kuandika au uliandika kabla ya kufikiria.JUMAPILI NJEMA!Na wewe nae Mahusiano, Mapenzi na Urafiki na kanisa la mt. Joseph wapi na wapi? Unamtindio wa fikra nin?
Thank u Lizzly for this useful post.Heshima yako umemwazima nani?!Kama mahusiano yangekua hayana uhusiano na dini ndoa zisingefungwa makanisani na misikitini...watu wasingepewa mafunzo yahusiano na MMU sehemu za ibada.Nadhani hizo sababu mbili zinatosha kuonyesha kama ulifikiria kabla ya kuandika au uliandika kabla ya kufikiria.JUMAPILI NJEMA!
teh! teh! teh! Lizzy huyo teh!Heshima yako umemwazima nani?!Kama mahusiano yangekua hayana uhusiano na dini ndoa zisingefungwa makanisani na misikitini...watu wasingepewa mafunzo yahusiano na MMU sehemu za ibada.Nadhani hizo sababu mbili zinatosha kuonyesha kama ulifikiria kabla ya kuandika au uliandika kabla ya kufikiria.JUMAPILI NJEMA!
Thank you....Thank u Lizzly for this useful post.
Hebu njoeni kesho manzese darajani mtanikuta.