Mmoja wa waasisi wa oau. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmoja wa waasisi wa oau.

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, Apr 19, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mmoja wa waasisi wa umoja wa nchi huru za africa,anaitwa Sekou Toure alikuwa Rais wa.....
   

  Attached Files:

  • OAU.jpg
   OAU.jpg
   File size:
   5.9 KB
   Views:
   265
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kumbe magwanda yalianza zamani. Viva CDM!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rais wa wapi sasa?
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Vijana wa siku hizi, hata Historia hamkusomeshwa. Poleni sana sana na tunashukuru walau hapa mpo na mnauliza.

  Huyu alikuwa Rais wa Guinea Conakry. Ndiye aliyempokea Miriam Makeba na kumpa hadi Uraia. Alipopinduliwa Kwameh Nkrumah wa Ghana, alimkaribisha Guinea na kutaka kumpa hadi Urais ila Nkrumah akamwambia, no!! Akakubali tu kuwa mshauri wake. Kwakukaa na Nkrumah, aliendeleza ile Siasa ya Umoja wa Africa ila bahati mbaya wote wakakwama.

  Ndiyo maana utaona Dar kuna Mtaa wa jina lake (TOURE) na UDSM kuna ukumbi wa Nkrumah Hall.
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Na Mwanza kuna hospital inayoitwa jina kwa heshima yake: Sokou Toure.
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kijana Sikonge kakujibu swali lako kikamilifu kuwa Sekou Tioure alikuwa Rais wa Guinea Conakry, kwasababu kuna nchi nyingine yenye jina la Guinea lakina makao yake yako BISSAU hivyo inaitwa Guinea Bissau!!
   
Loading...