Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Kwa Mujibu wa ITV kipindi cha Hapa na Pale saa 12 leo jioni. Amepigwa risasi na watu wawili waliokimbia na boda boda.
Mtangazaji kasema ni mtu kutoka taasisi nyeti serikalini kutokana na kitambulisho chake mashuhuda walichokiona.
Kwa Mujibu wa ITV
kipindi cha Hapa na Pale saa 12 leo jioni. Amepigwa risasi na watu
wawili waliokimbia na boda boda.
Mtangazaji kasema ni mtu kutoka taasisi nyeti serikalini kutokana na
kitambulisho chake mashuhuda walichokiona.
Ni nani huyo mtu nyeti?
Kama ni wa Tiss sometimes hao wanauwana wenyewe kwa wenyewe, eti kwa sababu za kiusalama!
mkuu hadi sasa DAR si pahala salama kuishi.Dar er salaam mda siyo mrefu itakuwa siyo sehemu salama ya kuishi. Umafia unazidi kuongezeka
Kapigwa mtu wao hapo ndipo tutajua ufanisi wa vyombo vyetu,watafanya kila mbinu kupata ukweli.ila angekuwa kauwawa kwenye mkutano wa CHADEMA zingeanza danadana.
Kwa nini unadhani ni TISS? Ni kwa sababu ya mambo ya kazi au Mambo binafsi??