masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Mwalimu aliwaonya hamkumsikilizaHapa mkweere asingekenuakenua hata kidogo!
Unajua mkweere alitutapeli watz kwa staili ya kuchekacheka tukampa nchi tukiamini kuwa mambo shwari, dah mambo yanavyokwenda tumeligundua hilo!!
Asante Faiza, lakini heri ukutane na mbogo wa Mikumi kuliko jamaa kama huyu akikasirika.Hivi kwa nini huwa mna attach "thumbnail" badala ya picha kamili? namna hii:
Sijui tz kama kuna watu weusi kama hawa!ebu check hizo lips zilivyo
ungejua kuwa baba yake alimkataa akidai mkewe alitoka nje ya ndoa kwa kuzaa mtoto mweupe namna hiyo. kwenye ukoo wao hakuna mtu mweupe kama huyuJamani mimi ni mweusi lakini jamaa ni MWEUSIIIIIIIIII...........kaaa
nadhani ni kati ya watu wachache weusi sana duniani......anaweza kuwa mshindi katika GUINESS world book of record..kwa kuwa mweusi
acheni kusupport recism, au kma mnaona ni kitu cha kawaida siku nyingine mkibaguliwa msema hakuna noma kwani hata sisis huwa tunaongelea nani mweusi zaidi, haya mambo ningeyakuta kwenye forums za mataifa ya ulaya au asia nisingesikitika, lakinini hapa?
Huyu ndo mlinzi wa Rais Sava Kiir!!Mchukulie ndo angekuwa wa Kikwete,sijui kama tabasamu lingekuwepo