Mmmmhh??ngastuka.....!!

Mmmmhh??ngastuka.....!!

Ujanja wake uko wapi jamaa wamisha tafuna tunda ROFL.

Kutafuna tunda sio ishu....!!wangapi wanatumika leo hii...???wewe hapo ushatafuna/ushatafunwa na wangapi???ujanja hapa ni kugundua kama unatumika period....!!!!dunia yako chaguo lako chagua kutumika au kutumiana au kuwa mwenyewe but happy...!!!
 
Nawe uwe wamfanyia hivyo hivyo, hakika utajua lengo lake la yeye kufanya akufanyiavyo...
Mkuu kifaa kama hiki hata kinifanyie nini mi sikiachi!:becky::becky::becky:

attachment.php
 
We Asprin kwaiyo ww unifanyie tu hayo mie nivumilie tuu....!!!!mkuki kwa nguruwee....!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???

Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!

Ha ha ha Shixi889, yaani leo nimecheka ijumaa itakuwa murua!! Kwa kifupi ni alama kuwa jamaa ana mtu/watu!!! Yaani mwanaume/mwanamke wa hivyo ukikutana naye kimbia ufe!!! Kuna mmoja nilikutana naye kumbe ana kibwana chake!! Sasa siku nikiwa naye anaweka line mpya kabisa na ninafikiri haina hata wateja maana simu haipigwi hata kidogo. Ilinichukua muda kugundua baada ya kukutana kama mara nne hivi, sasa siku moja nikachukua simu yake kuangali naona TIGO badala ya VODA!! Pale pale nikamuuliza line ya VODA i wapi? Alinitolea macho kama bundi na siku ile ilikuwa ni mwisho!!! Nilimtema kama taka!!
 
Ila ni ngumu sana kumpata mzuri, awe wako peke yako...
 
Mbona umechelewa ulikuwa wapi wenzako washapanga toka 2012....!!!!
Mhhhm mimi naona ya 2013 itakuwa tamu zaidi, itakuwa imesha kuwa na ki experience flani vile.
 
hahahahaha kamchezo ka wadada/wakaka wa mjini...ana wapenzi zaidi ya wawili unafikiri atakua na uhuru na simu zake?akiiacha wazi atapigiwa utanzan uko karibu na customer care wa tigo.pole
 
Ha ha ha Shixi889, yaani leo nimecheka ijumaa itakuwa murua!! Kwa kifupi ni alama kuwa jamaa ana mtu/watu!!! Yaani mwanaume/mwanamke wa hivyo ukikutana naye kimbia ufe!!! Kuna mmoja nilikutana naye kumbe ana kibwana chake!! Sasa siku nikiwa naye anaweka line mpya kabisa na ninafikiri haina hata wateja maana simu haipigwi hata kidogo. Ilinichukua muda kugundua baada ya kukutana kama mara nne hivi, sasa siku moja nikachukua simu yake kuangali naona TIGO badala ya VODA!! Pale pale nikamuuliza line ya VODA i wapi? Alinitolea macho kama bundi na siku ile ilikuwa ni mwisho!!! Nilimtema kama taka!!

Tamaa ndo mbaya ukiwa nayo utaharibu tu mwisho wa siku nlipoanza uhusiano nae nlikuwa wazi sana kwake na nlitegemea the same na nlimwambia kabsa mie sipendi mizinguo,kuepusha shari akaona awe ana zima simu kabsa..!!sasa tabu zote hizo za nn??ukimuuliza visingizio kibao...!!!
 
Njoo kwangu upate pumziko.. Usiumize moyo wako bure!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We Asprin kwaiyo ww unifanyie tu hayo mie nivumilie tuu....!!!!mkuki kwa nguruwee....!!!
Kiukweli kabisa mi siezi mfanyia mrembo hiyo makitu. Mi hata nikikucheat hutaweza jua. Kwanini nikuumize bana.... Kiukweli kabisa hata utakayempata usijiamini utakuwa peke yako. Namlaumu sana huyo jamaa yako kwanini amekuwa mzembe mpaka ukamstukia?

Ukimwona leo jioni mwambie babu kamwambia shenzy taipu zake mia tatu na nusu.

CC: Kaunga, gfsonwin, Paloma, amu, Blue G, neggirl, Zion Daughter, Madame B, cacico.... Kwa taarifa
BCC: Arushaone, Filipo, Mentor, Kaizer, Bigirita, watu8, Mtambuzi Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, mwanaizaya Superman........... Kwa utekelezaji wa sera ya Kilimo Kwanza.
 
Asante babu Asprin ubaya anajua mie sjamstukia ss ila kwa kuwa umeniambia nimwambie ulichosema leo lazma nimtolee uvivu nimpe makavu....!!!najua hata mwanamke uwe na uzuri kama malaika kuchitiwa kupo tu ila ndio usnifanyie mpaka nkaona vijidalili...!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???

Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!

Kuna swahiba wangu mie nilishamsoma long timeeeee, basi namchora tu. Simu yake full password, mie nilishamtoa moyoni, sasa nabaki namchora tu nakula vyake na ananifanyia yangu while nikipass time kumpata wa ukweli. Nikiwa nae anazima simu full time, basi ikiwashwa hata iite vipi hapokei, basi ikitokea akapokea tu wadada wanavyouliza why alizima, anabaki kuwadanganyia na wao wanakubali na kukaa kimya.......wanaume wamezidi kuwa play wanawake jaman!ukiona hivi hata usisubiri ondoka kungali asubuhi, kama utabaki basi iwe mguu mmoja ndani mmoja nje
 
Njoo kwangu upate pumziko.. Usiumize moyo wako bure!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mmmmh???ya kweli hayo mnaanzaga hivyo hivyo wapole wenyewe mapenzi 300% na kubembelezwa 400% ila ss utapogeuka weee...mapenzi -000%
 
Hahaha si kweli bana. Wapo wanaume wenye mapenzi ya dhati kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mrembo by Nature kwa sasa mie nshaanza kujiondoa taratibu there is no place for stress in my life....!!kama anaakili kashasoma namba...!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom