Mmmmhh??ngastuka.....!!

Mmmmhh??ngastuka.....!!

Kiukweli kabisa mi siezi mfanyia mrembo hiyo makitu. Mi hata nikikucheat hutaweza jua. Kwanini nikuumize bana.... Kiukweli kabisa hata utakayempata usijiamini utakuwa peke yako. Namlaumu sana huyo jamaa yako kwanini amekuwa mzembe mpaka ukamstukia?

Ukimwona leo jioni mwambie babu kamwambia shenzy taipu zake mia tatu na nusu.

CC: Kaunga, gfsonwin, Paloma, amu, Blue G, neggirl, Zion Daughter, Madame B, cacico.... Kwa taarifa
BCC: Arushaone, Filipo, Mentor, Kaizer, Bigirita, watu8, Mtambuzi Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, mwanaizaya Superman........... Kwa utekelezaji wa sera ya Kilimo Kwanza.

Nakiri upokeaji wa ujumbe huu babu.
Kwa utekelezaji...
 
Hi dhana ya tupo wangapi. Majamaa wengine watata, simu ikiwa silent akiona mwanga tu. Umwambia sholi wake apokee. Akipokea simu utasikia Haloo Haloo Sikusikii, simu yako inamatatizo alafu inakatwa twa kisha inaziwa.
hahahahahahahahahahaaaa!!!!!!yani acha tu ndugu ni hatari yale matangazo sjui watu wanaona ni maigizo...???
 
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???

Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!

Babu Asprin, huyu naomba - kama bado hujamkagua - nimkague mimi!!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa,nimejikuta nacheka hadi watu wamenishangaa hapa

Usicheke. Wanawake wamechachamaa hawataki mikopo. mtu alishaachwa stendi kisa alitaka kukopa......alijua ni utani alipowekewa dau, sasa si akajitupa kichwa kichwa!akkambiwa aweke mpunga mezani kabla ya kuelekea sehemu ya tukio akawa anabaki anashangaa akaambiwa baba wasalimie wachaga wenzako
 
Ukweli nko soo honesty soo simu zangu naweka hadharani na hata apige nani napokea tena mbele yake bila wasiwasi wowote na penda kufanya hivyo ili kujenga uaminifu...but in return ndo hayo..!!hata sihangaiki kumfanyia hivyo as long as nshamjua nw nko kimya...!!ataisoma namba...!!y acheze na hisia zangu..??

guuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuud... nmeipenda hii
 
Aseee....
Maisha yangekuwa kama tunavyofikiri 'Yatakuwa' bila fulani in the picture, ingekuwa raha sana.
Jaribu uone utakavyoliwa na kukimbiwa kila siku. Hata Marioo wanachoka kuhongwa atii.....

Sorry.....kwani hapa mnaongelea nini?
 
Asante babu Asprin ubaya anajua mie sjamstukia ss ila kwa kuwa umeniambia nimwambie ulichosema leo lazma nimtolee uvivu nimpe makavu....!!!najua hata mwanamke uwe na uzuri kama malaika kuchitiwa kupo tu ila ndio usnifanyie mpaka nkaona vijidalili...!!!

haiye maee Mungu akutarame... ulashione see
 
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii simu...!!!.....na nyingine itawekwa kwenye silent mode...!!hapa kuna amani kweli???

Mara.....!!kimya siku nzimaa...!!ukipiga simu yaita tuu.....!!!haipokelewi...!!!baada ya masaa kadhaa ya ukweli ndo utaskia samahani sana baby wangu unajua nlitoka simu nkaiacha kwenye chaji ilikua haina charge hata kidogo...eeeh? na nyingine mbona ilikua haipatikani??...anashtuka haa?kwel??mbona ilikua hewani baby..!!nisameha mpenzi wangu umechukia eeh???Ptuuuuuuuuh....!!!Ngastuka...!machale kundesa....!!
Nachelewa basi napita kuwasalimia cc Asprin, Madame B, watu8, gfsonwin, Shark, Vin Diesel.......tekelezeni mlichotumwa!
 
Last edited by a moderator:
Weeee natumia kinga ndugu, na kwanza hatufanyi kihiiivyo, kuchunwa ndo daily na kunifanyia yangu ndo daily
Keleuwiiiiiii....... basi mi nikafikiri we bado bikira. Oh Mammmmah! Imekulaje kwangu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom